Hii ndio Habari ya sasa ninayoitoa kwenu, kama nilivyonukuu taarifa iliyopita ya Mahakama ya Kisutu kwamba kesi ya Wachochezi hawa itaendelea tena 06/06/2024
Kaa tayari kwa minyukano ya Kisheria...
Je, ni wafanyabishara wa mabus wanahujumu? Mbona nchi zilizoendelea huko tunaona usafiri aina zote unaendelea meli, treni na mabus yanapiga kazi vilevile.
Kwanini huku miradi hii inasua sua Kwa...
Naombeni msaada wa mimi mwenyewe : ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21 nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha nifanyaje sasa ili niweze kwenda...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Ni kwa kipindi kirefu tumeona serekali ikipambana sana kuzuia matumizi ya bangi na miraa (mirungi) lakini kwa tafiti zangu binafsi kwa wale watumiaji sijawahi kuona mtumiaji wa bangi amekosa bangi...
Wakuu kuna taasisi moja ya umma nimeenda kupewa huduma nikapewa control namba nilipie ila nilichoambulia kila wakala anasema hii haiwezekani kulipa. Nikarudi kwa taasisi husika nikawapa cash...
Just imagine, yaani mkandarasi anasemwa na waziri kwa kuchelewesha kazi hadi mkandarasi anazimia kabisa, huu si uuaji jamani? Na ni udhalilishaji pia, hayo ni maoni yangu. Angalia video hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.