Mwezi Mmoja umepita baada ya kumtumia, lakini yeye pia alichangia ni msichana anae onesha kunipenda sana. katengeneza mazingira Hadi nikaingia mkenge wa kuzini nae marakadhaa.
Ndio kwanza...
Wadau hamjamboni nyote?
Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania.
Mama huyu...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hello bosses and roses, it has been a while...
Leo ngoja nimuongelee huyu kinda wa NBA kwa jina la Antony Edwards au Ant-Man, dogo wa 2001 tu hapa anaekipiga kwenye team ya Minnesota...
Sikuwahi kutarajia hii hali. Nina mshikaji wangu ambaye tulikutana kwenye kituo cha kazi mkoa x kipindi hicho mimi ndo nimetoka kumaliza chuo. Hatuzidiani sana umri sema mimi ndo namzidi jamaa...
Haijulikani anafanya hivi kwa sababu zipi, kwamba yeye ndio Mkuu bora wa Mikoa yote au labda yeye ni zaidi ya mawaziri, maana tunaona Mawaziri wakisafiri mbali zaidi kwa gari moja tu, na wakifika...
Serikali inatarajia kutumia Tsh. 31,329,180,963.16 kwaajili ya Ukarabati wa Uwanja wa Michezo wa Benjamin Mkapa kwa awamu ya kwanza ambapo hadi kufikia Aprili 2024 Tsh. Bilioni. 7.44 zimelipwa kwa...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.