Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani.
Sasa cha kushangaza Mabeyo...
Hii imenishtua sana. Huyu Mtanzania aliyekuwa anajichukulia sheria Mkononi ametuaibisha sana. Alishindwa kuvumilia mpaka arudi kwao?
Nawaza lengo la kuweka camera vyooni ni nini?
Habari ndugu zangu. Wakubwa shkamoo......
Ushawahi kujiuliza maisha yangekuwaje bila Dini?
Leo nimewaza nikawazua na kuangalia mifano iliyohai kuhusu uhusiano uliopo kati ya mtu kuwa na roho ya...
Kama kampuni ni yako mwenyewe au umeajiliwa tu aisee kuwa makini sana.
Watu hawa ni wepesi sana kwenda kwa sangoma.
Yani ni chap tu kama anaenda sokoni.
Huko ni mwendo wa kuosha nyota na...
Niaje waungwana
Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake...
Tehran, afisa wa ngazi za juu aliyekua anahusika na upelelezi wa ajali iliyogharimu maisha ya Rais wa Iran siku chache zilizopita amepigwa risasi na kufariki.
"Huku mtu aliyempiga risasi...
Amani iwe kwenu,
Ufuta ni zao moja zuri sana kibiashara, hapa nilipo ni nimevuna takribani gunia kama 20 ivi.
Uliko bei ya ufuta ikoje?, ili tuangalie soko sehemu nzuri.
Kwa tuliosoma vyema Psychology hasa ile ya Communication naomba tutafute Clips za Interviews za Diamond kuhusu Umiliki wake wa Wasafi Media kisha naomba tuchukue na Clips za Interviews za Ali Kiba...
Siikumbuki jina la clip.
Katika hiyo clip, Wazungu walikuwa wakijadili changamoto za Afrika, ambapo mmoja alionesha kushangazwa na tabia ya Mwafrika. Alisema kwamba Mwafrika anaweza akanunua simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.