Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

moods wote qummmmmmmme zen wajinga nyie mnapenda nyuzi zangono tuu malaya nyie zakuelimisha hamzitaki mbwanyie nipigeni ban nihame vizuri
0 Reactions
4 Replies
5 Views
Habari ndugu zangu. Wakubwa shkamoo...... Ushawahi kujiuliza maisha yangekuwaje bila Dini? Leo nimewaza nikawazua na kuangalia mifano iliyohai kuhusu uhusiano uliopo kati ya mtu kuwa na roho ya...
2 Reactions
33 Replies
302 Views
Katika dunia hii mtu wa mwisho ambae unaweza kuona chozi lake hadharani ni senior army officer na army general ndio kabisa awezi kuonyesha weakness hiyo hadharani. Sasa cha kushangaza Mabeyo...
53 Reactions
462 Replies
32K Views
Hii imenishtua sana. Huyu Mtanzania aliyekuwa anajichukulia sheria Mkononi ametuaibisha sana. Alishindwa kuvumilia mpaka arudi kwao? Nawaza lengo la kuweka camera vyooni ni nini?
3 Reactions
11 Replies
53 Views
Kama kampuni ni yako mwenyewe au umeajiliwa tu aisee kuwa makini sana. Watu hawa ni wepesi sana kwenda kwa sangoma. Yani ni chap tu kama anaenda sokoni. Huko ni mwendo wa kuosha nyota na...
6 Reactions
8 Replies
244 Views
Niaje waungwana Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake...
10 Reactions
267 Replies
3K Views
Tehran, afisa wa ngazi za juu aliyekua anahusika na upelelezi wa ajali iliyogharimu maisha ya Rais wa Iran siku chache zilizopita amepigwa risasi na kufariki. "Huku mtu aliyempiga risasi...
19 Reactions
147 Replies
4K Views
Amani iwe kwenu, Ufuta ni zao moja zuri sana kibiashara, hapa nilipo ni nimevuna takribani gunia kama 20 ivi. Uliko bei ya ufuta ikoje?, ili tuangalie soko sehemu nzuri.
2 Reactions
13 Replies
201 Views
Kwa tuliosoma vyema Psychology hasa ile ya Communication naomba tutafute Clips za Interviews za Diamond kuhusu Umiliki wake wa Wasafi Media kisha naomba tuchukue na Clips za Interviews za Ali Kiba...
1 Reactions
24 Replies
281 Views
Siikumbuki jina la clip. Katika hiyo clip, Wazungu walikuwa wakijadili changamoto za Afrika, ambapo mmoja alionesha kushangazwa na tabia ya Mwafrika. Alisema kwamba Mwafrika anaweza akanunua simu...
5 Reactions
14 Replies
194 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,311
Posts
49,687,583
Back
Top Bottom