Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naomba ushauri. Nina mwanaume wangu lakini ana tabia ya ulevi uliokithiri yani kulewa mpaka asubuhi na huendelea siku inayofuata mfululizo. Kila wakati anaomba msamaha kubadilika hali ni ile...
3 Reactions
25 Replies
131 Views
JE, NDEGE INARUDI NYUMA? Ndege nyingi za sasa zina mfumo wa kurudi nyuma #reverse' ambao mara nyingi hutumika kupunguza kasi wakati ikitua (#Braking). Kwa baadhi ya ndege za 'Mapangaboi'...
38 Reactions
399 Replies
17K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
42M Views
Kwema wakuu! niende moja kwa moja kwenye mada. Nimekua nikitafakari sana juu ya hatima ya maisha yangu na hasa ukizingatia hali ya sasa kwa hapa Tanzania ni mbaya, kwani watu wanaishi maisha...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, ambaye pia ni Mfadhili wa zamani wa Bendi ya FM ACADEMIA, Pedeshee Amos Makalla mkazi wa Mvomero, Morogoro, ametamka hadharani kwamba tangu enzi na enzi CCM...
3 Reactions
45 Replies
1K Views
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja. Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni...
10 Reactions
82 Replies
2K Views
Kuanzia Kimara Mwisho, Sinza hadi Mikocheni, kila unapopita leo utakuwa huna bahati nzuri kama usipokutana na vibao vinavyotangaza huduma za kuchua (massage). Matangazo mengi ni ya kujinadi kwa...
3 Reactions
12 Replies
299 Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
75K Views
Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha...
10 Reactions
304 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Hili ni jambo la wazi kabisa lisilo hitaji shahada ya sayansi ya siasa kutoka UDSM au Elimu kubwa sana.hili ni jambo ambalo kwa mwenye akili timamu na mwenye akili huru...
1 Reactions
5 Replies
6 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,370
Posts
49,799,993
Back
Top Bottom