Exim Bank ya Korea imeikopesha Serikali ya Tanzania zaidi ya Bilioni 400 Kwa Ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Kisasa na Chuo Cha Mafunzo(Mfano wa Muhimbili-Mlonganzila) Zanzibar.
---...
Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho.
Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na...
Rehema Chalamila (Ray C) Mei 15, 1982, Iringa - Tanzania.
Kabla ya kuingia kwenye Muziki, alikuwa Mtangazaji wa East Africa Radio, baadaye akahamia Clouds FM zote za Dar es Salaam.
Alianza...
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA
MASHEIKH WALIOCHUKULIWA NA POLISI MAHAKAMANI JANA WAMETOLEWA LEO 5/6/24, ALASIRI KWA DHAMANA.
(HAWAKUELEZWA DHAMANA YA TUHUMA GANI, MAANA WAMESHINDA KESI NA KUACHIWA...
Add bookmark
#1
Habari ya jioni wakuu natafuta kazi ya bolt/ tax nipo kigamboni wakuu au kama Kuna mtu kapaki gari yake ndogo niwe namletea hesabu,,hata kama una ipaki weekend tusaidiane mm nipo...
Mara ya kwanza mbunge wa Gairo alishauri laini zitozwe TSh 200 kila mwezi. Na sasa huyu mwingine ameshauri laini itozwe Tsh 50. Kwanini wanaona ni muhimu kutoza laini za simu? Ni rahisi lakini je...
Kuanzia unapotongoza mwanamke anakubebesha gharama zote ambazo alitakiwa kuwajibika mwenyewe au kugharamiwa na baba yake sasa hapa mwanaume akisalitiwa ndio yale yale ya msukuma na penny uko goba...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hii ni post ya ya mhe Nape ya 23 May 2024 akimrushia tusi mwananchi.
Waziri Nape anamdhalilisha sana mhe rais kwa tabia yake ya kutukana watu mitandaoni. Yeye kama waziri wa Habari na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.