Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huyu mrembo wangu ananihudunia kila siku kwa tendo, na ananiachia nijipigie magoli idadi ninayotaka mpaka pale nitakapo choka mimi mwenyewe; nimejikuta ndani ya wiki mbili nimekuwa na kitambi...
3 Reactions
7 Replies
8 Views
Urefu wangu, mita 1.8x Haya mambo nilikuwa nayachukulia poa sana nilidhani ni kawaida kwa kila mtu ila nimekuja kuyajua baadae sana - Wale vibaka wa kumendea kuiba simu sijawai kusogelewa nao...
6 Reactions
61 Replies
908 Views
Wale wasafiri wenzangu tunatumiaga "SAI-BABA" ETHIOPIAN katika mihangaiko ya maisha huko duniani mtakubaliana na mimi jinsi pale Airport kunavyoboa kama una "Long Layover" yaani kumejaa kama...
27 Reactions
304 Replies
36K Views
Hivi kwanini asilimia kubwa ya viongozi wanawake wakubwa Serikalini na taasisi zake wengi hawana waume. Swali ni je wanaowapa vyeo wanapenda zaidi Wanawake wasioolewa au? Huu ni ubaguzi wa wazi...
17 Reactions
120 Replies
4K Views
Poleni na majukumu mbalimbali ndugu zangu, Bila kuwapotezea muda,napenda kutoa ushuhuda juu ya umuhimu wa maji ya kunywa kama tiba katika kutibu tatizo la Vidonda vya tumbo na Bawasiri...
6 Reactions
14 Replies
215 Views
Wasalaam, Hii inaumiza sana, hivi majuzi mdogo wangu alinipigia simu akilia kwamba pesa ya boss wake imeibwa kupitia simu. Akiwa angalia anasema kutoka kwenye Akaunti yake namba...
3 Reactions
38 Replies
523 Views
Kuna mheshimiwa mmoja alipendekeza sh.50 ikatwe kwenye muda wa maongezi kwa kila line ili kuchangia ujenzi wa barabara. Unaweza kufikiri ni akili yake amependekeza, lakini kusema kweli zile tozo...
0 Reactions
3 Replies
136 Views
Kuna taarifa ya ajali ambapo inasemekana lori limeigonga Coaster iliyotokea Tunduma kuja Mbeya eneo la Simike. Mchana huu. Inasemekana kuna vifo kadhaa. ----=========== Hii ajali imetokea leo...
4 Reactions
51 Replies
2K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views

FORUM STATS

Threads
1,860,521
Posts
49,804,541
Back
Top Bottom