Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Urefu wangu, mita 1.8x Haya mambo nilikuwa nayachukulia poa sana nilidhani ni kawaida kwa kila mtu ila nimekuja kuyajua baadae sana - Wale vibaka wa kumendea kuiba simu sijawai kusogelewa nao...
3 Reactions
40 Replies
423 Views
Hapa nazungumzia wafanya biashara sio wale wezi wa pesa za wananchi, changamoto inakuja kutafuta mtaji labda umepata milion 5-10, either umekopa au umepewa, changamoto ya kwanza ni kutafuta frame...
7 Reactions
23 Replies
224 Views
"If the owners of the natural resources go around begging, then you should know there's something wrong with their minds”
26 Reactions
95 Replies
1K Views
Mchungaji Peter Msigwa akizungumza Jumatano kwenye mkutano wa hadhara wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA bara Tundu Lissu uliofanyika Jumatano Juni 05, 2024 katika Kijiji Ughandi -Singida Kaskazini...
5 Reactions
12 Replies
234 Views
Wadau hamjamboni nyote? Uzi huu unakusudia kuwaenzi Waandishi wetu wakongwe na wanaoheshimika wa ndani na nje ya nchi. Hivyo unachotakiwa ni kuweka msemo/ nukuu moja, jina la Mwandishi , Kitabu...
9 Reactions
125 Replies
3K Views
Kampuni ya Magari ya Umeme ya uganda, Kiira Motors, inatazamiwa kusambaza mabasi ya EV kwenda Tanzania kwa Mabasi Yaendayo Haraka ya Dar es Salaam (DART). Video ya tangazo la jaribio la...
2 Reactions
27 Replies
733 Views
MANGE FUNDIKA HAPA, ACHA UMBUMBUMBU. CAG RIPOTI, MWENDOKASI, TOTO AFYA KADI NA AJIRA. Na, Suphian Juma Nkuwi Mange Kimambi baada ya kuonesha mdhaifu na mwoga kwa kukimbia mjadala nami kwa...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views
Wajinga wajinga wengi wanafurahi eti akina Magori wamerudi kuiokoa Simba, tena vyombo vya habari vya kijinga kabisa vinaandika Mamafia warudi Simba. Wana umafia gani sasa? Mafia enzi hizo alikuwa...
1 Reactions
11 Replies
178 Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mara limetoa ufafanuzi juu ya madai ya Polisi kuwatumia Mgambo katika shughuli zao Awali, Mwanachama wa JamiiForums.com alidai Mgambo hao wamekuwa wakitumiwa usaidia...
3 Reactions
13 Replies
51 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,480
Posts
49,803,249
Back
Top Bottom