Baada ya kujitunza kwa muda mrefu (mashallah),takribani week 3 zilizopita nikampata kijana mmoja tall, handsome, then black (mungu anajua kumbaa mashallah) baada ya kunitaka kwa kipindi kirefu...
Mkutano huu pichani ni wa saa 4 asubuhi leo hii kwenye kijiji cha Ughandi.
Hili ndio jimbo linaloongozwa na mbunge anayeitwa Ramadhan Ighondu aliyevuma kwenye gazeti la MwanaHalisi enzi zile
Taarifa kutoka viunga vya CHADEMA zinasema kwa chini chini kwamba Katibu Mkuu Mnyika hataki tena kuendelea na kazi kama Katibu Mkuu wa Chama hicho.
Sababu kubwa ni John Mrema kuingilia na...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linamshikilia Dereva aitwaye Said Rajab [35] mkazi wa Dar es Salaam aliyekuwa akiendesha Gari yenye namba za usajili T.422 AKF/T.303 APW Scania Lori mali ya Amani...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Nimeona Mchungaji Msigwa amejiunga katika ziara ya Tundu Lissu. Wakati Msigwa akigombea, Lissu alipita Iringa na akatoa neno kama la kumtetea Msigwa alipokuwa akipambana na kampeni konki za Sugu...
Kama ulkua Haujui, Basi tambua simu unayomilik inaweza kukutambulisha wew ni Mtu wa Aina Gani Kitabia, Nakusogezea Angalia chama lako
1:Iphone kwa Mwanamke anaonekan HAJATULIA Mambo Mengi, kwa...
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.