Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini...
Ndugu zangu watanzania,
Ukisikia watu wanafiki,waongo,ndumila kuwili na walaghai basi ni wafuasi wa CHADEMA. Hadharani watakujaza upepo,kukuvimbisha kichwa,kukupa kiburi halafu kumbe nyuma ya...
Je, umefika muda sasa Marekani kufanya mazungumzo na Iran ili utulivu urejee hapo Mashariki ya Kati mana inaonekana Marekani alishachelewa kumdhibiti Iran kwa kutumia nguvu kama alivyomdhibiti...
Marekani imesema inaitambua rasmi Kenya kama Mshirika wake wa karibu Kiusalama ambae sio mwanachama wa NATO Ili kukabiliana na Ushawishi wa Russia na China Barani Afrika na hususani Afrika...
Wadau hamjamboni nyote?
Leo nimeamini kuwa Watutsi na Waethiopia ni ndugu wa damu kabisa na kama kuna tofauti basi ni nchi tu wanazoishi kwa sasa.
Tazama picha hapo chini ya Rais Paulo Kagame...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Furaha iwe na mipango.
===
Kaizer Chiefs are set to announce new coach and two signings on Wednesday?
On Monday, a statement indicating that Kaizer Chiefs will unveil a new coach and players on...
Mikopo inawadhililisha kila kona ya nchi.
Kampuni za Microfinance zinawkopesha wanashindwa kulipa.
Wanashitakiwa kila kona na hii ni aibu kubwa kwa mwajiri wao. Maana inaonekana hawallipi vizuri
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.