Habari za muda huu wakuu,
Nina Account 2 za CRDB, ya kwanza niliifungua mwaka 2020 kwa kitambulisho changu cha utaifa, na ya pili niliifungua 2021 kwa kitambulisho changu cha chuo kikuu muda huo...
Wakuu Jeshi la Africa kusini linategemea kufunga virago msumbiji ambako vikosi vya SADC vikiongozwa na South Africa vilikua vikipambana na Kundi la kigaidi la kiislam Msumbiji.
Kwa ambao hawajui...
. Hakuna mwanaume mwenye hasira na wivu mkali kwa mwanamke asiye mhudumia wala kumlipia mahari labda awe mpumbavu. Mauaji mengi ya mwanaume kumuua mwanamke sio kwa sababu ya wivu wa mapenzi bali...
Kwa tuliosoma vyema Psychology hasa ile ya Communication naomba tutafute Clips za Interviews za Diamond kuhusu Umiliki wake wa Wasafi Media kisha naomba tuchukue na Clips za Interviews za Ali Kiba...
Kwa mnaomjua Penina ana grocery hapo Goba Center pembeni ya baa ya Trinnidad kauawa na mpenzi wake usiku wa saa tisa hapo hapo grocery kwake.
Nitaleta update zaidi.
Wanawake kuweni sana makini...
Haijulikani anafanya hivi kwa sababu zipi, kwamba yeye ndio Mkuu bora wa Mikoa yote au labda yeye ni zaidi ya mawaziri, maana tunaona Mawaziri wakisafiri mbali zaidi kwa gari moja tu, na wakifika...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wadau hamjamboni nyote?
Napendekeza Mkoa mmoja upewe jina la Mama Samia ikiwa ni njia ya kumuenzi & kumpa hamasa azidi kuchapa kazi Kwa nguvu kubwa kwa maslahi mapana ya Watanzania.
Mama huyu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.