Iko hivi, nchi hii ili uwe mwizi na fisadi mwenye mafanikio basi ni lazima uwe na mafungamano na chama tawala na serikali yake. Yaani kama uko nje ya mfumo basi hakikisha unakula vizuri na walio...
Naomba ushauri.
Nina mwanaume wangu lakini ana tabia ya ulevi uliokithiri yani kulewa mpaka asubuhi na huendelea siku inayofuata mfululizo.
Kila wakati anaomba msamaha kubadilika hali ni ile...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha...
Milion 10 inatosha kuanzisha biashara ya Baa? Uzuri wa biashara hii unaweza fanya popote budget yangu ni mil 10 ambayo itajumuisha TV 3, friji, viti, meza, jiko, wafanyakazi 3 wa kuanzia, mziki...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa ameagiza kukamatwa kwa Watu kadha ambao wanatuhumiwa na Wananchi kwa kusababisha migogoro ya ardhi na kuuza maeneo kinyume na taratibu...
Group limeundwa na watu wa DAWASA wenyewe cha ajabu hawasikilizi shida za wananchi.
Mh. Waziri anahangaika huku na kule lakini wafanyakazi wa DAWASA wachache wanafanya masihara na maisha ya...
Habarini na poleni na majukumu
Uzi huu nimeandika kutokana na mada mbalimbali nilizokutana nazo zinazohusu mahusiano ya kindoa juu ya single mothers
Kwanza kabisa inabidi nitoe sababu chache za...
Orodha ya baadhi ya waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA,
Hawa wote siku wanahama CHADEMA walisema Tatizo la CHADEMA ni mwenyekiti Mbowe,
Hizi ni baadhi ya " Quotes " zao
1. Zitto Zuberi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.