Habari wakuu,
Kuna kazi niliiomba kwenye NGO ya wa Norway. Nikiri ya kwamba sijawai ona Hiring process ndefu kama ya hili shirika.
Nilikuwa shortlisted nkapiga interview ya kwanza ambayo ilikuwa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Huyo kiongozi wa dini ya uislamu anayeongoza Iran alijitokeza na kusifia sifia Wapalestina kwa wao kujitolea kufa, ila rais wa Palestina amemsuta na kumwambia Wapalestina wameteseka, wamekufa...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Naomba mwenye Majibu ya swali langu anisaidie, maana kwa akili yangu ndogo nimeshindwa kupata majibu, nina maanisha sababu hasa zilizomsukuma Rais kumteua huyu jamaa kwenye Uwaziri.
Angalizo...
Wasaalam.
4 Juni, 2024, Dodoma.
________________
Athuman Kapuya Foundation ni shirika lililosajiliwa mwaka 2021 ambapo, kwa kipindi chote limetekeleza matakwa ya kisheria ya uwasilishaji wa...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepokea kwa masikitiko taarifa ya kusimamishwa kiholela kufanya kazi za uwakili iliyomkumba Wakili Mwandamizi Mheshimiwa Mpale Mpoki ambaye alikuwa...
Nawasalimu wote.
Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.
Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni...
Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbali mbali anyone who is interested...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.