SIJAJUAAA TU HIZI DEGREE ZINATOLEWAJE ZA HESHIMA
MAANA LEO NIMECHEKA KUONA TFF WAKISEMA JUMAMGUNDA KOCHA BORA MCHEZAJI BORA
gamondi na sifa zake hata mgunda hafikii mwezihuu
Nenda kwa azizi...
Upendeleo wa hivi hautakiwi na ikomeshwe mara Moja maana ni hatari kwa mstakabali wa umoja wa kitaifa.
Chato peke yake kulikuwa na miradi zaidi ya 14 mikubwa mikubwa Kama ifuatavyo
1. Miradi wa...
TANZANIA KINARA AFRIKA KWA USAMBAZAJI WA NISHATI KWA WANANCHI
📌 Tanzania na Benki ya Dunia kushirikiana katika miradi ya nishati
📌Benki ya Dunia yaisadia Tanzania dola milioni 300 kuendelea...
Naomba kufahamu ni hospital gani au Dr gani anaweza saidia tiba ya tezi dume.
Mzee wangu ameonekana na tezi dume kwa vipimo vya awali.
Mgonjwa yupo Morogoro.
Habari Wanawake wote wa JF, Salaam ziwafikie mliko Wanaume pia hakika mnastahili pongezi kwa kuwa waibua mijadala na watoa maoni yanasaidia katika ujenzi wa Taifa letu kwa ujumla.
Leo naongoe na...
Ndugu zangu Watanzania,
Haya ni maoni yangu mimi kama mimi kuiomba Serikali yetu kuiandikia barua VOA kupitia Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania kuiomba Msamaha nchi yetu, kwa habari yake ya...
Siku hizi kumekuwa na Kampuni nyingi za Mikopo Online kama PesaX, Twiga Loan, Mloan, Cash X.
Na watu bila kuwa makini mtakuja jikuta mnaingia matatizoni kutoka na taarifa zinazokusanywa na...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Group limeundwa na watu wa dawasa wenyewe cha ajabu hawasikilizi shida za wananchi.
Mh Waziri anahangaika huku na kule lkn wadawasa wachache wanafanya masihala na maisha ya wananchi.
.Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.