Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
42M Views
SI MBAYA KUULIZAAAA NIMEWAZAA TU KAMAAA HAYA MAKAMPUNI YA SIMU YANAKOPWA NA JESCA AMA BETTY GAFLAAAAAA MM NATUMIWA MSG NA HAYA MAKAMPUNI YA KUKOPAAAA ATI NDUGU AMA MFADHILI WA BETTY UNAOMBWA...
0 Reactions
11 Replies
135 Views
Hivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti. Bila hivyo! Vinauchuna kama kichuguu. Morals...
27 Reactions
84 Replies
1K Views
Hii picha imenichekesha sana 🤣. Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana? Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana...
25 Reactions
103 Replies
2K Views
Kama heading inavyojieleza Mimi ni kijana wa kitanzania mpweke haswa sina marafiki in real life. Niko hapa kuomba urafiki na watu wapya ambao tutasaidiana Mambo mbalimbali. Anyone who is...
6 Reactions
65 Replies
325 Views
Ford, wametoa Explorer EV ambayo ni SUV yenye siti 5. Kwa kutumia MEB EV platformya Volkswagen, hii SUV ina uwezo wa kuchajiwa kutoka 10% hadi 80% kwa dakika 25 tu. Kwa single charge, inaweza...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ni kweli bado hakijaeleweka. Kiungo mshambuliaji Mzambia, Clatous Chama bado hajamwaga saini ya kuendelea kubali Simba baada ya mabosi wa Msimbazi kushindwa kumtekelezea mahitaji aliyowasilisha...
5 Reactions
23 Replies
363 Views
Wadau hamjamboni nyote? Uzi huu unakusudia kuwaenzi Waandishi wetu wakongwe na wanaoheshimika wa ndani na nje ya nchi. Hivyo unachotakiwa ni kuweka msemo/ nukuu moja, jina la Mwandishi , Kitabu...
9 Reactions
121 Replies
3K Views
Asalam aleykum...twende kwenye mada Kusali jumapili Amri ya Nne inasema kwamba siku ya kuabudu ni ya 7 ni Sabato. Wakatoliki wanaita hii amri ya Tatu kwa sababu waliifuta Amri ya Pili...
8 Reactions
288 Replies
10K Views
Tarehe 23.10.2014 Mheshimiwa Raisi Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete alitunukiwa shahada ya heshma ya Uprofesa na Chuo kikuu Cha kilimo China. Huyu anastahili kuwa addressed Kama Professor Jakaya...
1 Reactions
3 Replies
64 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,240
Posts
49,796,009
Back
Top Bottom