Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Tehran, afisa wa ngazi za juu aliyekua anahusika na upelelezi wa ajali iliyogharimu maisha ya Rais wa Iran siku chache zilizopita amepigwa risasi na kufariki. "Huku mtu aliyempiga risasi...
11 Reactions
104 Replies
2K Views
Mzuka? Katika mabishano ya hapa na pale kuna mshkaji akawa ananiambia Loliondo ilishanunuliwa na waarabu na hata ukiingia kwenye eneo wanaolimiliki mtandao unasoma nchi ya UAE. Kama haitoshi...
3 Reactions
33 Replies
345 Views
Kitaa sio safi! kuna muda hauwezi kuyaondoa machungu kwa kulia bali inahitaji busara ya kujitia upofu wa kuyaona machungu yako,unaweza ukalia ila yakawa ya samaki na remi ongala. Sisi watanzania...
2 Reactions
8 Replies
54 Views
Kuna kitu sijakielewa bado, Iran ni Taifa la kiislamu, Rais ameuwawa na chopa jumapili, lakini mazishi yatafanyika Alhamisi, wakati deen inasema muislamu akifa azikwe haraka tena hukohuko...
9 Reactions
72 Replies
2K Views
Salaam,Shalom!! Nimesikia Mh Mwigulu, waziri wa Fedha akilalama kuwa, Wafanyabiashara waliopewa nafasi ya kukusanya Kodi Kwa niaba ya Serikali ni chanzo Cha kukosekana mapato ya Serikali...
2 Reactions
17 Replies
48 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
518K Replies
30M Views
Wakuu habari za muda huu najua mko njema tunaendelea kupata pumzi ya bure na Mungu atubariki Kama kawaida kuna wakati mtu unapambana na inafika hatua unatamani uwe na kwako uchomoke kwenye mambo...
6 Reactions
44 Replies
943 Views
  • Poll
BAYER 04 LEVERKUSEN VS ATALANTA BC Mabingwa wa bundesliga bayer leverkusen kumenyana na atalanta fainali ya ligi ya europa. Naomba kujua maoni yenu! Klabu gani itashinda Europa League...
5 Reactions
78 Replies
1K Views
Wanaume ambao mnawatoto embu tupeni uzoefu wenu kwa mara kwanza unampelekea Mwanamke wako hospitali kujifungua,hiyo siku ilikuwaje na kipi utoweza kusahau kabisa
5 Reactions
36 Replies
757 Views

FORUM STATS

Threads
1,856,238
Posts
49,685,728
Back
Top Bottom