Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Na nawaambieni mapema kama ambavyo ANC huko Afrika Kusini ilivyopoteza Viti vingi vya Ubunge na hawaamini ndivyo ambavyo itakuwa hivyo hivyo kwa CCM hapo Mwakani kwa Kupoteza Viti vingi vya Ubunge...
Wakati siri imefichuka kwamba pendekezo la kusimamisha vita limetoka Israel. Vile vile wafuatiliaji wa vita vya Gaza wametoa takwimu za kuonesha jeshi la nchi hiyo kwa sasa limechoka na lina...
Rushwa ya ngono imetajwa kama kikwazo kikubwa kwa Wanafunzi wa kike wanaokwenda kuomba kufanya field katika Ofisi mbalimbali nchini Tanzania ambapo kero hiyo imeibuliwa na Mwanafunzi wa Chuo cha...
Binafsi Sina uelewa wa sheria kabisa, ila naomba hizi mahakama za mwanzo ziondolewe au zifutwe kabisa kwani huku ndio kimbilio letu sisi masikini na wajinga na sisi tusio na akili,
Kwa mfano...
Mshiriki lazima awe mwanachama wa JamiiForums, ambapo anaweza kujisajili kwa kiunganishi hiki; Register
Mshiriki anaweza kutumia jina halisi au la kubuni ‘pseudonym’.
Mshiriki atatakiwa kutaja...
Kweli nimeamini morogoro ni heart of Tanzania wala sio uongo morogoro ni njema kwa kila kitu Huu mkoa umebarikiwa aisee kiukweli kutoka moyoni Nakupenda morogoro japo mie si mtu wa morogoro kabisa...
Yaani leo wengi wenu Shingo zimewashupaa Kumlaumu Rais wa Uganda Museveni kumteua Mwanae Muhoozi Kainerugaba kuwa Mkuu mpya wa Majeshi ya Uganda.
Mbona hamshangai Watawala wenu ( Marais na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.