Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hello hello hellooooooo. Mko salama jamani😉😉 Leo ni birthday ya Chakorii. Karibu tusheherekee pamoja 🫶🫶 Mtoto ninapokea zawadi🥳🥳🥳 Huhuhuuuu🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️🤸‍♀️ 🥂🥂🥂🥂
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nawasalimu wote. Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU. Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni...
1 Reactions
27 Replies
249 Views
SHURA YA MAIMAMU TANZANIA MASHEIKH 4, WAMESHINDA KESI LEO TAREHE 4/6/2024 MAHAKAMA KUU DAR ES SALAAM MBELE YA JAJI MHINA POLISI WAMEWACHUKUA “Kwanza kabisa tunamshukuru Mwenyezi Mungu na...
0 Reactions
2 Replies
24 Views
Wakuu mko salama? Kumekuwa na matokeo mengi yanatokea hivi karibuni watu wanakamatwa na watu wanaojitambulisha ni polisi mwisho wa siku wanaokotwa wamekufa, polisi wakiambiwa ni wao wamefanya...
12 Reactions
32 Replies
408 Views
Serikali ya Tanzania inatarajia kuanza kujenga Bandari ya Uvuvi ya Bagamoyo Kwa kushirikiana na Korea Kusini ambayo itagharimu Dola Milioni 156.5 ambazo ni sawa na Shilingi Bilioni 400 za...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Holla! Hope mko poa Twende straight kwenye mada. Mwenzenu nina tatizo kubwa naona nisipo tafuta muafaka naweza kuishia kua alone maisha yangu yote. Ipo hivi yani mwanaume nampenda/ kumtamani...
5 Reactions
51 Replies
4K Views
TFF tuliwaasa kulea madhambi na kuacha weledi na kuingiza siasa kwenye football hamkutusikia, kijana alikumbia mkataba akahongwa, akashindwa kesi TFF mkaingiza siasa labda na woga mkataba...
22 Reactions
66 Replies
2K Views
Watu hawa wa East Asia:- i, Wakorea ii, Wachina iii, Wajapan. Wana akili sana. Sisi waafrika weusi hatuna akili nyingi sana, tuna akili ndogo tu za kawaida za kuvukia barabara. Ni muhimu sana...
5 Reactions
28 Replies
541 Views
Habari wakuu, Kuna kazi niliiomba kwenye NGO ya wa Norway. Nikiri ya kwamba sijawai ona Hiring process ndefu kama ya hili shirika. Nilikuwa shortlisted nkapiga interview ya kwanza ambayo ilikuwa...
5 Reactions
40 Replies
1K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views

FORUM STATS

Threads
1,860,204
Posts
49,795,237
Back
Top Bottom