Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Sijamsikia siku mbili hizi. Hakuongoza kikao cha Kamati Kuu Unguja. Siku hizi wapo watu wengi wanautamani urais,kwa hiyo rais akitoweka lazima tuulize
22 Reactions
126 Replies
4K Views
Dhamira na malengo ya kufanya mchakato wa mabadiliko ya sheria za uchaguzi chini ya Serikali ya awamu ya sita ilikuwa ni kuboresha mazingira ya kiuchaguzi nchini kupitia mabadiliko ya Tume ya...
0 Reactions
4 Replies
36 Views
Kitaa sio safi! kuna muda hauwezi kuyaondoa machungu kwa kulia bali inahitaji busara ya kujitia upofu wa kuyaona machungu yako,unaweza ukalia ila yakawa ya samaki na remi ongala. Sisi watanzania...
2 Reactions
7 Replies
54 Views
Salaam,Shalom!! Nimesikia Mh Mwigulu, waziri wa Fedha akilalama kuwa, Wafanyabiashara waliopewa nafasi ya kukusanya Kodi Kwa niaba ya Serikali ni chanzo Cha kukosekana mapato ya Serikali...
2 Reactions
15 Replies
48 Views
Kuna taarifa nimezipata kutoka kwa mtu wangu wa karibu anadai Watu 11 wamefariki Dunia ndani ya Kiwanda cha Mtibwa Sugar kilichopo Morogoro kutokana na hitilafu za kiufundi. Wenye taarifa kamili...
5 Reactions
49 Replies
2K Views
Hello bosses and roses, it has been a while... Leo ngoja nimuongelee huyu kinda wa NBA kwa jina la Antony Edwards au Ant-Man, dogo wa 2001 tu hapa anaekipiga kwenye team ya Minnesota...
3 Reactions
35 Replies
514 Views
Mzuka? Katika mabishano ya hapa na pale kuna mshkaji akawa ananiambia Loliondo ilishanunuliwa na waarabu na hata ukiingia kwenye eneo wanaolimiliki mtandao unasoma nchi ya UAE. Kama haitoshi...
3 Reactions
30 Replies
345 Views
Hili suala la Lisu kuchangiwa gari nimeona lisipite hivi hivi. Pamoja na ubovu wote wa Samia ila wafuasi wa chadema ni wanafiki sana aisee. Mpaka leo wiki inaisha Lisu hajafikisha hata sh...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Nimejaribu kusikiliza anachozungumza lakini kama nashindwa kuelewa, ni MUKANDALA yule wa KIKOSI KAZI au ni mwingine? === Akitumia maandiko ya Jaji Ibrahim Juma (1998), Prof. Mukandala anaeleza...
2 Reactions
23 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,856,238
Posts
49,685,728
Back
Top Bottom