🚨
Huyu jamaa nilidhania anasingiziwa kumbe ni mshenzi kweli. P. Diddy aka Mr Love anaeshutumiwa kwa makosa mbalimbali ya udhalilishaji wa ki ngono kwa wanawake na wanaune nimeona kwenye moja ya...
Tehran, afisa wa ngazi za juu aliyekua anahusika na upelelezi wa ajali iliyogharimu maisha ya rais wa Iran siku chache zilizopita amepiga risasi na kufariki.
"huku mtu aliyempiga risasi...
Massawe, Benki ya Kigali, benki kubwa ya Rwanda kwa mali, imemthibitisha Deogratius Massawe kuwa Afisa Mtendaji Mkuu (CEO) wa kitengo cha teknolojia, BK Techouse.
Deo alikuwa kaimu Mkurugenzi...
KASUMBA YA WANAWAKE WANAOTAFUTA WANAUME WENYE PESA, WAKATI WAO HAWANA PESA
Na Comrade Ally Maftah
KING OF ALL SOCIAL MEDIA
Kuna wanawake wamekuwa wakisikika wakitaja vigezo vya wanaume...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Jaman mimi ni muajiriwa nafasi fulani ya juu kidogo hapa nchini. Nimeweza kupata mil 70 ambayo ni matokeo ya SAVING ya muda mrefu na hela zangu fulani nilikuwa nazidai kulipwa.
Mpango nilionao ni...
Viongozi waandamizi chadema kwa mfano, Lissu na Mbowe, wana nguvu sana kisiasa, wana uwezo mkubwa kujieleza, kutetea na kujenga hoja, wana maono, vipawa vya kipekee sana, nia, dhamira njema...
Habari wakuu ni matumaini yangu wote ni wazima,Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 27,naomba msaada natamani sana kwenda kufanya kazi ulaya, elimu yangu nimeishia four 4,pasport ninayo naomba...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametaka kufikishwa mahakamani haraka kwa watumishi wanaodaiwa kuhusika na upotevu wa shilingi Milioni 428 ambazo ni fedha za Mpango wa Kunusuru Kaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.