Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Huyo kiongozi wa dini ya uislamu anayeongoza Iran alijitokeza na kusifia sifia Wapalestina kwa wao kujitolea kufa, ila rais wa Palestina amemsuta na kumwambia Wapalestina wameteseka, wamekufa...
3 Reactions
17 Replies
423 Views
Habari Ndugu zangu, kama taarifa inavyo eleza, kijana huyu amepotea, haonekani. Wakazi wa Dar es salaam, Msaada kwa atakaye muona au kusikia taarifa zake.
6 Reactions
47 Replies
888 Views
Kwa maslahi mapana ya taifa na kwa kushirikiana na taasisi moja ya dini tumeazimia kufanya utafiti ili matokeo ya utafiti huo yaweze kuisaidia Serikali ya CCM, kupata mzizi iwapo kama kweli...
3 Reactions
172 Replies
3K Views
Personally nimefaidika na madini mengi humu JF kwa ajili ya maswala mbali mbali, sio vibaya na mimi kushare info na wana jamii wafaidike pia. Nimekulia katika familia yenye b'ness ya hardware...
21 Reactions
174 Replies
48K Views
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30. Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
48 Reactions
148 Replies
3K Views
1. Marioo 2. Harmonize 3. Jay Melody 4. Mbosso 5. Jux 6. Chino 7. D. Platnumz 8. Zuchu 9. Alikiba 10. Nandy Hizo takwimu ni kutokana na performance zao huku mtaani ndani ya miaka mitano ya hivi...
6 Reactions
85 Replies
2K Views
Nyuki wa mama salaam, wazalendo mpo? Safari ya Korea imezaa imetunda bwana. Kumbe PhD ya Jeshima ilikuwa inatuandaa kwa jambo lenyewe. Inamaama Korea ndio wametuona wajinga kiasi hiki mpaka...
8 Reactions
45 Replies
1K Views
Sio kwamba mnyama nyumbu alipenda kuzaliwa hana akili mbungani hapana ni nature tu iliamua kwa ujinga wake awe kitoeo rahisi kwa wanyama wengine. Hata sisi kwetu waafrika weusi nature tu imeamua...
3 Reactions
25 Replies
320 Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
44 Reactions
52K Replies
3M Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
522K Replies
30M Views

FORUM STATS

Threads
1,860,099
Posts
49,793,240
Back
Top Bottom