Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naombeni msaada wa mimi mwenyewe. Ni kwamba nimemaliza kidato cha nne mwaka jana na nimepata division 2 ya 21. Nataka kwenda chuo ila mzazi wangu ananilazimisha Nifanyaje sasa ili niweze kwenda...
5 Reactions
21 Replies
200 Views
Hili ni la msingi sana ,kuna siku Maliasili zote za Nchi zitaondoka na ubadhilifu mkubwa utafanyika na tutaendelea kupiga kelele huku wahusika wanadunda mitaani . Hili ni la msingi sana tuweke...
1 Reactions
3 Replies
28 Views
Taarifa iwafikie Idala ya Maji safi na maji taka mkoa wa Mbeya. Hivi huwa mnautaratibu wa kukagua Chemba za maji taka hapa jiji maana mji mzima umekuwa ukinuka harufu ya maji taka. Mwanzo ilikuwa...
0 Reactions
1 Replies
13 Views
Habari, rejea kichwa cha habari. Jinsia: Me Umri: 28 yrs old Mafunzo: JKT Uzoefu wa kulinda: 3yrs Vituo nivyolinda: Julius Nyerere hydropower project (JNHPP),some of TRA offices &some of petrol...
5 Reactions
107 Replies
3K Views
Utangulizi Mara ya Kwanza mkristo unapopata Neema ya kuhokoka , Roho Mtakatifu anaingia ndani yako na pale anapoingia ndani yako kuna kiu ya kutaka kumjua Mungu Sana inaingia ndani yako Unakuwa...
2 Reactions
10 Replies
555 Views
Habari wakuu, Kama ulikuwa hujui basi jua sasa ya kuwa unavita ya kiroho. Vita hii uwe unaiona au auioni ila ipo inaendelea kwenye Ulimwengu wa Roho. Uwe unajua au hujui vita ya kiroho ni...
9 Reactions
12 Replies
2K Views
Mfahamu Carlos Ray 'Chuck' Norris alizaliwa Machi 10, 1940 ni msanii wa michezo ya mapigano wa Marekani na mwigizaji wa filamu. Alitumikia katika Jeshi la anga la Marekani. Alikuwa maarufu kama...
2 Reactions
6 Replies
87 Views
Wakuu mko salama? Kumekuwa na matokeo mengi yanatokea hivi karibuni watu wanakamatwa na watu wanaojitambulisha ni polisi mwisho wa siku wanaokotwa wamekufa, polisi wakiambiwa ni wao wamefanya...
3 Reactions
9 Replies
97 Views
Sio kwamba mnyama nyumbu alipenda kuzaliwa hana akili mbungani hapana ni nature tu iliamua kwa ujinga wake awe kitoeo rahisi kwa wanyama wengine. Hata sisi kwetu waafrika weusi nature tu imeamua...
3 Reactions
14 Replies
166 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,065
Posts
49,792,486
Back
Top Bottom