Nina ndugu yangu kapata matokeo haya HIST-D GEO-C BIO-C ENGL-D CIV-C CHEM-C LITE-D KISW-C MATH-D
Amepata Division III Point 23 hajasomea PHYSICS na amepangiwa chuo cha Human Resources Management...
Hivi umegundua watoto wengi siku hizi ni wagumu sana kusalimia mtu. Yani wamjue, wasimjue, ni mpaka mzazi amwambie salimia anko, salimia anti.
Bila hivyo!
Vinauchuna kama kichuguu. Morals...
Zingatia kwamba, unayemfanyia haya si mume wa mtu, kwani anaweza akatelekeza familia yake na kukufuata wewe.
Hii ni kwa mwanamke ambaye yupo kwenye mahusiano na mwanaume. Katika mahusiano yenu...
Wadau nawasalimu.Wakati TEC wametoa WARAKA BORA kuhusu Sakata la BANDARI kuna Watu Walijitokeza Majukwaani na kwenye Mitandao ya Kijamii kuwakejeli TEC kuwa Wanachanganya DINI na SIASA jambo...
Habarini!
Mimi nina swali hivi wenzangu mnawezaje kukabili maisha. Najiskia kuchoka sana. Everyday I must worry about something. Yani matatizo hayaishi. Is this life? Being in constant worry and...
Askofu Dr Shoo amenena ukweli kuwa Rushwa za uchaguzi zimeanza kupenyezwa kwenye makanisa na misikitini, bila aibu watumishi wa Mungu na waumini chukueni tahadhali za kutosha ili msije...
Ndugu wajumbe,
Naombeni ushauri wa namna nzuri (economically optimal) ya kujenga nyumba kwa ajili ya kupangisha tu. Nalenga kupangisha wanafunzi wa chuo/shule, mabachelors, na watu wanaoanza...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.