Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam, Shalom!! Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri. Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo...
24 Reactions
112 Replies
2K Views
Habari wadau. Huwa ninafanya deposit kwenye Skrill wallet kwa kutumia Equity bank. Lakini huwa ninapata changamoto na usumbufu wa ku withdraw kupitia equity bank , hata hivyo makato huwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii picha imenichekesha sana 🤣. Hivi kulikosekana kabisa chumba kingine kikubwa cha kutosha? Au ni viti ndo ambavyo vilikosekana? Anywho, mjinga mimi nina swali: hivi hao watu ambao huambatana...
7 Reactions
30 Replies
398 Views
Huwezi kutuvalia mtisheti wako wa Brazil siku tunakabidhiwa kombe bana. Ni kwamba ulikosa tshet maalumu inayoendana na tukio la leo au ulikosa kabisa jezi ya Yanga? Ulitaka kuonekana tofauti...
6 Reactions
48 Replies
2K Views
Kwenye huu mkutano uliofanyika Korea kuna Wakorea 4 tu kwenye chumba cha Mkutano. Lakini idadi ya Watanzania ambao ni wageni wako karibu 30. Sasa hapa sielewi IQ za watu wetu ni ndogo sana kiasi...
51 Reactions
170 Replies
4K Views
Habari waungwana. Nimekuja hapa nikiwa na swali moja Endapo majina ya kwenye vyeti vyote vya elimu Kuanzia sekondari mpaka chuo yanasomeka CHAI C MBILI Ila Kwenye NIDA CHAI CHAPATI MBILI. Cheti...
0 Reactions
3 Replies
106 Views
Wakuu wa nguvu na wana wa Mungu wanaJF, kibali cha Mungu kikawe juu yenu kila mmoja kwa imani yake Hili andiko litakua fupi sana. JF ni ukweli na huakika siku zote, Ndugu zangu binafsi bado...
0 Reactions
4 Replies
49 Views
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Emmanuel Mkilia amezionya Taasisi na Watu Binafsi wanaotoa Mikopo na kisha kuwadhalilisha Wakopaji ikiwa wameshindwa kurudisha Mikopo...
2 Reactions
8 Replies
161 Views
Godoro zipo katika daraja tatu kama vitu vingi vilivyo hapa duniani sio kila godoro linafaa kulaliwa na mtu yeyote. Mfano wale wanene ana godoro lake huyo ukichukua lenye ujazo mdogo lazima tu...
8 Reactions
66 Replies
4K Views
Na Bollen Ngetti 0683 226539 B-pepe bollenngeti@gmail.com SIKU tatu kabla Rais Samia Suluhu Hassan hajaelekea Korea Kusini kuhenyea kwa ajili ya nchi yake niliandika huko kwa Max (X) kwamba...
3 Reactions
34 Replies
844 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,126
Posts
49,793,527
Back
Top Bottom