Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hakutakuwa na tangazo la zabuni ya kuuza nchi. Sio kwamba gazetii au international business portal zitatangaza kwamba kuna nchi inauzwa huku. NO Mtakuja kushtuka tu heeeh kumbe mmeuzwa miaka...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Katika sherehe za kukabidhiwa kazi leo, Askofu Malasusa amesema; "Kumekuwa na majadiliano mengi kuhusu suala la ndoa za jinsia moja na kwamba jambo la ndoa za jinsia moja tuachieni viongozi wa...
2 Reactions
8 Replies
575 Views
Position: Content Manager/Moderator Location: Dar es Salaam, Tanzania Organization: JamiiForums About Us: JamiiForums is a Non-Governmental Organization in Dar es Salaam, Tanzania, dedicated to...
3 Reactions
2 Replies
10 Views
TABIA ZA MTU MZALENDO Na Joseph Nyoni Uzalendo nini? Uzalendo ni ibada ya kulipenda, kulitumikia na kulitetea taifa katika hali yoyote pamoja na kutanguliza maslahi ya taifa. Zifuatazo ni tabia...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Balozi wa Tanzania nchini Korea (Jamhuri ya Korea), Balozi Togolani Mavura amekanusha taarifa iliyosambazwa na chombo kimoja cha habari kuwa Tanzania imepokea mkopo toka Jamhuri ya Korea na kutoa...
6 Reactions
42 Replies
955 Views
Hii mechi wamepewa kina dada pekee na mwanaume mmoja Tabora ni wananyongwa hadharani na line two Napenda jkt washinde ila sio kwa namna hii
2 Reactions
5 Replies
112 Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
383K Replies
11M Views
sote tunapaswa kukubaliana kwamba ili matokeo ya wanafunzi yawe mazuri panahiitajika ushirikiano uliotukuka katika mzazi, mwalimu na mwanafunzi huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kadiri...
0 Reactions
1 Replies
20 Views
Salaam, Shalom!! Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri. Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo...
31 Reactions
158 Replies
2K Views
Serikali Mkoa wa Tabora imekamata shehena ya vitabu vyenye machapisho ya kufundisha na kuhamasisha vitendo vya mapenzi ya jinsia moja kwa wanaume na wanawake ambavyo vilikuwa mbioni kuanza...
8 Reactions
52 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,860,162
Posts
49,794,205
Back
Top Bottom