Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Salaam, Shalom!! Nchi yetu ni maskini, na Umaskini wetu ni WA matumizi ya akili katika kuzitumia vizuri raslimali na kuzibadili raslimali kuwa utajiri. Niliwahi kuhoji kuwa, dhamana ya mikopo...
13 Reactions
42 Replies
535 Views
Kama ilivyokuwa kwa Nguza Samike katibu binafsi wa Rais Magufuli na sasa tuna Waziri Rajab Salum katibu binafsi wa Rais Samia. Huyu ndiye mtendaji wa shughuli zote binafsi za Rais Samia katika...
15 Reactions
109 Replies
17K Views
Kuanzia unapotongoza mwanamke anakubebesha gharama zote ambazo alitakiwa kuwajibika mwenyewe au kugharamiwa na baba yake sasa hapa mwanaume akisalitiwa ndio yale yale ya msukuma na penny uko goba...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Spika mstaafu Mhe. Job Ndugai amesema walijisikia vibaya sana Kocha wao Juma Mgunda alivyofananishwa na andazi. Ndugai amesema lakini walifurahishwa kwa jinsi Juma alivyojibu kwa hekima. Ndugai...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Tanzania na Ethiopia zimesaini mikataba kadhaa na Korea Kusini kwa ajili ya kupata mikopo ya mabilioni ya dola kwa ajili ya maendeleo. Mikopo hiyo itaiwezesha Korea Kusini kupata fursa ya...
21 Reactions
224 Replies
7K Views
Hayo ni maoni ya jaji mstaafu. Jaji anasema kwenye uwekezaji kuna mambo ya ajabu yanaendelea na watu wenye akili wameamua kukaa kimya tu. Jaji anasema rasilimali sasa zinagawiwa kwa mikataba...
23 Reactions
114 Replies
3K Views
Balozi wa Tanzania nchini Korea (Jamhuri ya Korea), Balozi Togolani Mavura amekanusha taarifa iliyosambazwa na chombo kimoja cha habari kuwa Tanzania imepokea mkopo toka Jamhuri ya Korea na kutoa...
3 Reactions
27 Replies
370 Views
Hili ni la msingi sana ,kuna siku Maliasili zote za Nchi zitaondoka na ubadhilifu mkubwa utafanyika na tutaendelea kupiga kelele huku wahusika wanadunda mitaani . Hili ni la msingi sana tuweke...
2 Reactions
6 Replies
48 Views
Wakuu mko salama? Kumekuwa na matokeo mengi yanatokea hivi karibuni watu wanakamatwa na watu wanaojitambulisha ni polisi mwisho wa siku wanaokotwa wamekufa, polisi wakiambiwa ni wao wamefanya...
7 Reactions
13 Replies
124 Views
  • Suggestion
Kilimo ni maisha na maisha yetu ni kilimo na chakula.ni serikali Sasa ifike mahali iache longolongo hasa linapokuja suala la kilimo chenye tija Kwa mkulima wa chini. Kuna mambo machache serikali...
1 Reactions
1 Replies
35 Views

FORUM STATS

Threads
1,860,071
Posts
49,792,652
Back
Top Bottom