Hivi vi Japani ni vijitu vya hovyo kwenye ulimwengu huu wa utandawazi. Nilikuwa nasikia juu juu kwamba ni vibaguzi ila nilikuwa siamini kwa sababu nikikosa ushahidi. Sasa kwa hiki walichofanya...
Tunakumbushana Tu maana kwa Kawaida Binadamu ana hulka ya kusahau alikotoka
Prof Kitila alikuwa Injini ya Chadema na Kafulila alikuwa Injini ya Bavicha
Uchumi unapaa haupai?
Unapaaaaa...
Kuna jambo lina cost kma elf 60, kila siku nalipa tar kua sina hela.
Leo kuna binti kakubali kwenda out na mimi nimetoa laki 2. Safari imeishia kati binti kapata dharura, nimerudi nyumbani na ile...
Salaam shalom!!
Maandiko yanasema vita na uasi ulitokea Mbinguni, ndipo Dunia ikaumbwa tukaletwa hapa Kisha shetani pia akatupwa huku tulipo Ili vita iendelee,
Tafsiri hapo ni kuwa, battle...
Kila Kona tunaona mabango ya sifa na mapambio kwa mkuu "anaupiga mwingi anaupiga mwingi" lakini hali halisi ya mtaani ni tofauti sana kwa sasa upatikanaji wa pesa mtaani umekuwa ni mgumu mno...
Niaje waungwana
Leo nimeamua nilete kwenu uzi huu ili tumalizie ubishi uliopo mtaani kwetu kwa muda wa week tatu sasa bila kumpata mshindi wa kweli, huku kila kundi likivutia kamba upande wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.