Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimetoa mahali mie sio muhusika huyu mtu anaomba ushauri wenu. Anaishi na mkewe na wameoana ila mke wake anamkasirikia maana huyu kaka analala kitanda kimoja na namama yake. Yeye amesema wala...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Vijana wengi tunachangamoto ya kupata kianziO au mtaji kwajili ya kuanzisha biashara ndogondogo masikani kwetu. Unaweza kutimiza Ndoto zako sasa na kujitengenezea kipato kikubwa kitakachokidhi...
5 Reactions
40 Replies
690 Views
ni vizuri zaidi kumshukuru na kumuomba Mungu kila wakati, bila kuchoka wala kukata tamaa. sio tabia njema wala sio tabia nzuri kujenga mazingira au hali ya huruma na kuombaomba kwa wanyonge ambao...
0 Reactions
2 Replies
29 Views
Kwema wanajf, Naomba kujuzwa taratibu gani za kufuata unapohitaji kuoa mke wa kiislamu, kijana wenu nahitaji kuoa aisee nasikia ndoa tamu sana. NB, wale kataa ndoa msichangie
3 Reactions
7 Replies
98 Views
Hii...kwakweli ni AIBU Sana na tuna create taifa masikini na OMBA OMBA pale ambapo katika Population ya watu milioni 61 wanaolipa kodi ni ni milioni 3 tu. Unajua hadi inatia woga hata kule...
5 Reactions
23 Replies
161 Views
Mwalimu, kwa viwango na kipimo chochote kile, alikuwa kiongozi mwenye upeo na uelewa mkubwa kuliko Rais yeyote aliyefuata baada yake. Alifanya mambo makubwa sana kwa kuzingatia wakati wake. Kosa...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Habari zenu wakuu. Nimechoka kununua GB 1 kwa Tsh 2,100 kila siku ambalo halimalizi hata kipindi cha lisaa limoja na nusu YouTube. Nimefikia maamuzi ya kununua Router Nina Smart TV yenye kuingia...
4 Reactions
49 Replies
647 Views
Iko hivi kuna binti flani hapa kitaani kwangu nilikuwa napiga mzigo. nilimpenda kindakindaki. Moyo wangu na hisia zangu zote zililala usingizi wa fofofo kwake Sikuwa na ubahiri kwake, Mchizi...
1 Reactions
10 Replies
179 Views
Nilipohoji kuhusu uvaaji wa mchungaji Tony Kapola kuna watu hususan wanawake walinivaa kwa ukali kwamba nina wivu niwaachie mchungaji wao, kwamba uvaaji wake ni wa kawaida, kwamba uvaaji wa kisasa...
21 Reactions
177 Replies
5K Views

FORUM STATS

Threads
1,855,533
Posts
49,665,583
Back
Top Bottom