Jana nilienda kutazama fainal uefa pale kuku kuku.
Fainali ikiendelea na mimi niliendelea kuburudika, bill ikaja hii.
Anyway tutafute pesa kwa kasi sana
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga.
Mwanadada huyo na kigogo wapo katika penzi la...
Hii ranking imetokana na survey iliyofanyika kutoka kwa wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta kazi, factors kama ugumu wa kupata kazi, competition na kiasi cha mishahara ndo vimechangia ranking ya...
Hello JF...
Wewe ni mtu muhangaikaji kama wengine hapa mjini.
Mtu anakulilia shida hasa ni nduguzo. Unamsaidiaga mara kwa mara pale unapokuwa nacho. Ila shida ni moja siku ukisema bana sina. Hapo...
Habari ndugu zangu wanaJamiiforum......NIna TV ya Samsung inch 43 android,inaniletea shida kiasi kwamba siwezi kuona chochote.
TATIZO:
Nikiiwasha inawaka lakini ndani ya sekunde kumi inazima tena...
Kuna namba yangu ya simu nilikuwa siitumii for almost 3 years kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Baadae nikagundua ile namba amepewa mteja mwingine. Just imagine nimeitumia namba ile for...
Habari za jumapili!
Ni wivu katika jamii au ni jambo gani?
Ña hii tabia ipo kwenye jamii maskini hasa huku Afrika,
Ni kwànini mdada akiwa mzuri wale ambao hawakujaliwa uzuri humpa maneno mabaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.