Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hii ranking imetokana na survey iliyofanyika kutoka kwa wahitimu wa vyuo vikuu wanaotafuta kazi, factors kama ugumu wa kupata kazi, competition na kiasi cha mishahara ndo vimechangia ranking ya...
0 Reactions
2 Replies
31 Views
Kama inavyojieleza ushawahi kumpenda demu sio ligi yako. Ukaamua uende kwa babu.
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
105 Reactions
221K Replies
17M Views
Hello JF... Wewe ni mtu muhangaikaji kama wengine hapa mjini. Mtu anakulilia shida hasa ni nduguzo. Unamsaidiaga mara kwa mara pale unapokuwa nacho. Ila shida ni moja siku ukisema bana sina. Hapo...
4 Reactions
9 Replies
112 Views
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga. Mwanadada huyo na kigogo wapo katika penzi la...
48 Reactions
335 Replies
6K Views
Habari ndugu zangu wanaJamiiforum......NIna TV ya Samsung inch 43 android,inaniletea shida kiasi kwamba siwezi kuona chochote. TATIZO: Nikiiwasha inawaka lakini ndani ya sekunde kumi inazima tena...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuna namba yangu ya simu nilikuwa siitumii for almost 3 years kwa sababu zilizokuwa nje ya uwezo wangu. Baadae nikagundua ile namba amepewa mteja mwingine. Just imagine nimeitumia namba ile for...
0 Reactions
5 Replies
68 Views
Habari za jumapili! Ni wivu katika jamii au ni jambo gani? Ña hii tabia ipo kwenye jamii maskini hasa huku Afrika, Ni kwànini mdada akiwa mzuri wale ambao hawakujaliwa uzuri humpa maneno mabaya...
6 Reactions
53 Replies
491 Views
MAKAMU wa Rais, Dk.Philip Mpango amezindua chapisho la utafiti wa hali ya mazingira ya Pwani na Bahari Tanzania Bara huku akiagiza Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC)...
2 Reactions
7 Replies
98 Views

FORUM STATS

Threads
1,859,444
Posts
49,775,510
Back
Top Bottom