Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

My people how's weekend? Yangu iko poa sana, nimechill pande za Kigamboni napata upepo wa bahari. Sasa mambo yasiwe mengi, natamani kujua mitazamo ya wengine kwenye hili suala linalonichanganya...
29 Reactions
166 Replies
2K Views
Nawashauri Viongozi wote wa vyama vya Siasa nchi ilikujenga Bunge lenye checks & balance lazima baadhi ya watu wawepo Bungeni kwa historia ya Michango yao Ubungeni. CHADEMA. ==== CHADEMA...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views
Mwanadada mrembo, mwanamuziki, muigizaji, mjasiriamali na mwanamitindo Hamisa Mobetto 29, yuko mapenzini na Kigogo kutoka klabu ya soka ya Yanga. Mwanadada huyo na kigogo wapo katika penzi la...
16 Reactions
39 Replies
595 Views
Mimi binafsi nimezaliwa mwaka 1988 wakati ambao Tanganyika & Zanzibar zilikuwa kwenye muungano uliozaa Tanzania. Wiki ikiyopita niliamua kujipa likizo binafsi,kwakuwa ninafanya kazi nyingi kwa...
7 Reactions
114 Replies
2K Views
Mwandishi, "Tumesikia kuna kikao kimefanyika kuhusu kutaka kujiuzulu kuna ukweli ?! "Nani kasema nataka kujiuzulu ?! Mimi bado niko Simba na sifikirii kuhusu hilo. Mbona timu ikifanya vizuri...
0 Reactions
1 Replies
3 Views
Raisi wa Uturuki povu limemtoka, anataka mataifa ya Kiislamu yaungane dhidi ya taifa la Israel. Mimi naona huyu jamaa ni mnafiki kama wanafiki wengine.
11 Reactions
189 Replies
3K Views
Adani itafanya kazi na kusimamia Gati ya 2 ya Kontena katika Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania, kupitia kampuni tanzu ya Adani International Ports Holdings Pte Ltd. Mkataba huo wa miaka 30...
5 Reactions
72 Replies
2K Views
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza. Ipo siku nitampatia huu ujumbe...
52 Reactions
154 Replies
4K Views

FORUM STATS

Threads
1,859,267
Posts
49,769,669
Back
Top Bottom