Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
28 Reactions
1K Replies
35K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
518K Replies
30M Views
Baby . Reo nirienda kupima mareria nikaambiwa na dokita nina yutiyai,naomba unitumie era ya dawa,nitafulai sana........ Mwanamke wa hivi ni bora nikae mwenyewe
5 Reactions
16 Replies
85 Views
Katika hali ya kushangaza waziri wa mambo ya nje wa zamani wa Iran Javad Zarif ameilalamikia Marekani kwa ajali ya Helikopta iliyosababisha kifo cha Rais wao Ebrahim Raisi. Javad anasema ajali...
8 Reactions
27 Replies
577 Views
Baada ya aliyekuwa Rais wa Zimbabwe Marehemu Mugabe kuwapora Walowezi wa Kizungu na ambao walikuwa raia wa Zimbabwe wenye Asili ya Uingereza,hatimaye Serikali imetangaza kuanza kuwalipa mabilioni...
10 Reactions
54 Replies
690 Views
Ninaomba Wizara ya Kilimo ufanye utafiti ni kwa nini wali unaotokana na mpunga unaozalishwa katika maeneo yanchi yetu ladha yake siyo tamu?. Nimenunua mchele ambao ni mzuri kabisa lakini...
0 Reactions
1 Replies
11 Views
Yaani kabisa uhusike katika Kulihujumu Taifa Teule na Mungu Israel halafu etiLAANA yake Mwenyezi Mungu isikupate?
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Habari wakuu, Leo nimetembea tembea mtandaoni nimekutana na hoja za baadhi ya Wabunge wakitaka ipitishwe sheria ya mwanaume aliye baka adhabu yake iwe kuhasiwa, yaani korodani zitolewe nje na...
0 Reactions
0 Replies
5 Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
102 Reactions
651 Replies
23K Views
Ndugu zangu Watanzania, Ni hatari sana kuwaongoza watu na kuwapeleka katika njia ambayo haiwapi matumaini ya maisha na wala haionyeshi kuleta unafuu wa maisha kwa watu wala uhakika wa kutimiza...
3 Reactions
61 Replies
325 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,383
Posts
49,661,423
Back
Top Bottom