Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Serikali ya Mkoa wa Dar es Salaam imeandaa mikakati kwa kila mwalimu wa shule ya sekondari kuvaa sare ya suti kwa ajili ya matukio mbalimbali. Mkuu wa mkoa huo, Albert Chalamila amesema wameandaa...
3 Reactions
42 Replies
668 Views
Kuna kundi la vijana mchanganyiko wa Arusha ambao hawana kazi rasmi, wengi miongoni mwao wakijihusisha na ulevi uliopindukia, uvutaji wa bangi, matumizi ya unga, uporaji, ukabaji, ubakaji na...
5 Reactions
18 Replies
364 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
104 Reactions
221K Replies
17M Views
Habarini wakuu Naomba tushirikishane kwa kutoa mawazo na maoni mbalimbali haswa kwa wenye ufahamu kuhusu hoteli za nyota tano, na pia wajenzi na wakandarasi ambao wana uzoefu wa kujenga majengo...
3 Reactions
21 Replies
545 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametoa wito kwa vijana kuachana na siasa kwakuwa siasa hailipi badala yake wafikirie kuhusu kutengeneza pesa, maana pesa ndio inalipa na ukiikosa hata kwenye...
6 Reactions
35 Replies
788 Views
Wanandoa wengi wanaonekana kuamka nyumba moja na wenza wao tena wengine wakionekana kuwa na nyuso za furaha lakini kiukweli yanayoendelea humo ndani sio ya kufurahisha hata kidogo. Ukweli...
1 Reactions
5 Replies
6 Views
Ndugu zangu Watanzania, Baada ya hapo jana katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi pamoja na secretarieti Kupokelewa Kifalme na kwa kishindo kikuu Mkoani Singida. Hii leo tena...
0 Reactions
63 Replies
595 Views
Lilikuwa ni suala la muda tu na hatimaye unaweza kusema tumerudi nyuma au tumerudi kwenye maisha yetu ya kawaida au tuliyozoea. Daladala za kutokea Mbezi mpaka Mnazi Mmoja kupitia Manzese...
13 Reactions
61 Replies
2K Views
Serikali ya awamu ya 6 inayoongizwa na mama wa Taifa Samia S.Hassan Ambae ni Suluhu ya matatizo ya Watanzania imekusudia kuanza Ujenzi wa Daraja la Pili linalounganisha Dar es Salaam na Wilaya ya...
2 Reactions
11 Replies
104 Views
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila awashangaa wanaotaka Tume huru ya Uchaguzi isiwe chini ya Rais ama Rais asiwe na Mamlaka na Tume hiyo. Hakuna tume itazaliwa bila Rais, mtu wa tume...
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,775
Posts
49,755,912
Back
Top Bottom