Kama mnavyojua sikuhizi kupata charger original ya uhakika ni shida sana. Charger nyingi madukani humu zinaandikwa fast charger ila ukienda kuitumia ni matatzo tupu.
Leo nitaelezea njia rahisi ya...
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway
President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
Ndugu zangu habari za muda huu?
Naomba niende moja kwa moja kweenye mada. simu yangu ya sammsung a30 imeanguka na kuharibika kioo yaani display.
Kwa sasa simu imevujia wino na kioo ni cheusi...
Habari wana JF
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.
Uzi huu ni kwaajili ya wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za...
Wazee mi nilijuaga hii mishe watu wanaacha automatically wakiwa wanaachana na ule umri wa kubarehe kumbe ni addiction kama addiction nyingine tu.
Kumbe kuna Married men wanapiga punyeto...
Timu ya mkoa wa Arusha ina kikosi cha maangamizi, mshambuliaji Mrisho Gambo, huku mkabaji ni Paulo Makonda.
Timu imekamilika haswa, wadudu wote wa Arusha wametulia.Sasa kuna sehemu moja tu...
Nimekuwa nikifuatilia kwa umakini mkubwa na kufanya tathmini ya hali ya utendaji wa kazi wa watumishi wa serikali katika mikoa ya Tabora, Arusha na Dar es salaam ambapo mitandao ya kijamii...
Haiwezekani mbinguni au katika ulimwengu tusiojua wanaishi viumbe wawili wanaoogopana. Sasa tutajua nani mwenye nguvu?
Inasemekana shetani ni mbaya kama alivyotukalilishwa na mungu lakini...
Usiombe biashara ife au kazi iote mbawa, naishi maisha ya kuungaunga mwezi wa pili sasa baada ya kibarua kuota nyasi, poleni sana kwa mliowai kuishi maisha haya, maisha ya kula mlo mmoja na...
Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali iko mbioni kupeleka Bungeni pendekezo la chanzo kipya cha mapato kitakachowezesha Wizara ya Ujenzi kupata fedha itakayotumika kusaidia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.