Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
  • Sticky
Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea. Tuambiane; - Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako? - Ni ya aina gani...
51 Reactions
22K Replies
2M Views
Mbunge wa Viti Maalum Santiel Eric Kirumba ameishauri Serikali kuweka makato ya Tsh. 50 kwa kila laini ya simu kwa ajili ya Mfuko wa Barabara (Road Fund) ili kuuwezesha kuwa na makusanyo...
2 Reactions
92 Replies
2K Views
Wazee mi nilijuaga hii mishe watu wanaacha automatically wakiwa wanaachana na ule umri wa kubarehe kumbe ni addiction kama addiction nyingine tu. Kumbe kuna Married men wanapiga punyeto...
2 Reactions
52 Replies
566 Views
Serikali ya awamu ya 6 inayoongizwa na Rais Samia ambae ni Suluhu ya matatizo ya Watanzania imekusudia kuanza Ujenzi wa Daraja la Pili linalounganisha Dar es Salaam na Wilaya ya Kigamboni. Daraja...
6 Reactions
80 Replies
1K Views
Hello bosses and roses... Wiki hii nimepata changamoto kubwa ya kukosa access kwenye baadhi ya websites ninapotumia intaneti ya mtandao wa Tigo. Shida ilizidi zaidi kupelekea baadhi ya websites...
0 Reactions
5 Replies
42 Views
Kama mnavyojua sikuhizi kupata charger original ya uhakika ni shida sana. Charger nyingi madukani humu zinaandikwa fast charger ila ukienda kuitumia ni matatzo tupu. Leo nitaelezea njia rahisi ya...
43 Reactions
61 Replies
12K Views
Nimesoma kwa umakini sana post ya ONTARIO kuhusu kuitwa tapeli na namna alivyojisafisha >> Nakemea vikali ujinga, uongo, Uhuni na utapeli unaoenezwa na baadhi ya JF members Naomba kuzungumza...
90 Reactions
2K Replies
220K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views
Ndugu zangu habari za muda huu? Naomba niende moja kwa moja kweenye mada. simu yangu ya sammsung a30 imeanguka na kuharibika kioo yaani display. Kwa sasa simu imevujia wino na kioo ni cheusi...
1 Reactions
24 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,858,835
Posts
49,757,875
Back
Top Bottom