Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nadhani kwa sasa Dunia imesimama na majasusi wote Dunia wameamia Iran kunakotukio lakutisha. Baada ya mvumo na bishindo vingi sasa wenye Dunia yao wameamua kufanya yao pasipo kuwepo ushahidi...
2 Reactions
25 Replies
1K Views
Tunaona taarifa na mjadala kuhusu ajali ya helkopta inayodaiwa ilimbeba Rais wa Iran. Ikumbukwe siku chache Iran ilivamia Israel kwa makombora /ndege zisizo na rubani na Israel waliahidi kulipiza...
-1 Reactions
17 Replies
229 Views
Mzuka Wanajamvi! Wanajamvi nakuja kwenu kuwaomba mnisaidie kuchagua kati ya haya majina niliyoyaoroshesha ni lipi? Nataka kubadilisha majina. Nataka tu moja kutoka kwenye hii orodha chini. 1...
1 Reactions
4 Replies
37 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
41M Views
Imethibitishwa kuwa raisi wa Iran alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
20 Reactions
667 Replies
18K Views
UTANGULIZI Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam almaarufu kama DIT ni moja ya vyuo vikongwe sana hapa nchini, chuo hiki kimetoa wataalamu mbalimbali kuanzia mafundi mchundo mpaka wahandisi katika...
11 Reactions
88 Replies
16K Views
Habarini wanajamvi . Natumaini mko poa and mnaenjoy this Long weekend. Naomba kushare na nyingi story yangu then mtanishauri Nini Cha kufanya. Mimi Ni mwanamke Nina miaka 32 Nimeolewa ndoa ya...
46 Reactions
1K Replies
55K Views
Haijalishi Una hela au hauna ila achana na tabia ya kupiga mipira iliyokufa . Tafuta Mwanamke anyejielewa ambaye yupo katika peak yake Usisubirie ameshazalishwa kachoka then wewe ndo ujitose...
28 Reactions
91 Replies
2K Views
Nisikuchoshe na usinichoshe, tusichoshane!. Kwanza kabisa nipende kuwashukuru wote ambao mmeendelea kuwa na mimi bega kwa bega tangia mwanzo wakati naanza kusimulia visa vya maisha yangu ambayo...
124 Reactions
7K Replies
1M Views

FORUM STATS

Threads
1,855,302
Posts
49,657,574
Back
Top Bottom