Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Kwa niaba ya Graduators wote wa Degree za ualimu kuanzia 2017, 2018, 2019, tunakuomba Mheshimiwa Rais Dr. Samia na mamlaka zote zilizopo chini yako zinazo-deal na ajira za walimu, ikikupendeza...
1 Reactions
9 Replies
101 Views
Nakuombea upone haraka urudi kwenye afya njema Pole sanaa, haupo peke yako nipo na wewe kwenye kila hatua. Wakati wote umekua ukinijali mimi, ni wakati wangu kukuonyesha nakujali pia Upone...
28 Reactions
315 Replies
4K Views
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT. Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
28 Reactions
443 Replies
10K Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
930 Reactions
1M Replies
41M Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
104 Reactions
221K Replies
17M Views
Nampongeza Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Saad Mtambule kwa utumishi wake uliotukuka. Tumpe mtu maua yake anapostahili sawa na tunavyowakosoa. Sifa kuu za DC Mtambule ni hizi: 1. Msikivu sana...
1 Reactions
9 Replies
139 Views
Chukua hii nakupa;japo hatupangiani maisha kila mtu anajua jinsi anavyoyaendesha ila Kiukweli life ni gumu ndugu zangu na mwaka huu huku mashambani hali sio hali hasa Kwa upande wa zao la mahindi...
6 Reactions
42 Replies
535 Views
Naona Teuzi za Leo kwenye mambo ya Mipango zimesheheni Wazee Mabalozi Wasomi wa Zamani siyo hawa wa Extended High school Sasa kwa Dunia hii ya Artificial intelligence sijui Upepo utawaendeaje...
9 Reactions
33 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
124 Reactions
521K Replies
30M Views
Habari zenyu kwema? Bwana mwaka huu mama watoto wangu ametokwa na michirizi baada ya kutumia losheni ambayo alikua hatumii mwanzo, inaitwa sitii sijui baada ya kutumia hajamaliza hata wiki 2...
2 Reactions
31 Replies
288 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,490
Posts
49,748,205
Back
Top Bottom