Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Houthi wanaotawala eneo kubwa la Yemen wametungua tena ndege jeshi ya USA aina ya MQ-9 ambayo thamani yake ni dola 30mln. Taarifa rasmi ya msemaji wa jeshi na video ya hatua nzima ya kuipiga...
4 Reactions
36 Replies
1K Views
Ni uchunguzi wa miezi zaidi ya mitatu kwa nyakati tofauti kwenye maeneo mbalimbali Jijini Dar es Salaam na mikoa jirani, ambapo safari yangu inakutana na Walinzi wa kampuni binafsi wakitoa kauli...
7 Reactions
22 Replies
536 Views
Nimemuangalia huyu striker mpya wa Azam you tube, natema mate Chino.Hawa Azam safari hii labda wafanyiwe kafara zito, Blanco ana balaa, pengine anaweza kuwa striker bora ambaye hajawahi kutokea...
1 Reactions
11 Replies
194 Views
Habari JF, Pamoja na zogo nyingi za mamluki hasa wale waliopeleka watoto wao kuishi na kusoma Ulaya dhidi ya Rais wetu Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan kuongezeka eti wakidai uchumi wa Tanzania...
34 Reactions
189 Replies
11K Views
Kuna watu huwa wakiamini kitu huwa wanaamini mwanzo mwisho. Dada lao ameamua kumchallenge PK mara ya pili huku uchaguzi uliopita ulimuacha pabaya.
2 Reactions
3 Replies
4 Views
Naomba kueleweshwa, kinachosababisha Tanganyika na Zanzibar ziitwe nchi zilizoungana ni kipi? Nauliza haya kwa sababu 1.) Kila nchi ina Rais wake 2.) Kila nchi ina katiba yake 3.) Kila nchi...
13 Reactions
99 Replies
2K Views
Salaam, shalom!! Nimekuwa nikifuatilia kwa karibu uchaguzi unaendelea wa Kanda, mchuano ni mkali na leo tumeshuhudia Mh Sugu akiibuka mshindi Kwa tofauti ya kura mbili pekee. Jambo jingine...
13 Reactions
41 Replies
848 Views
Habari wakuu, nilisave picha zangu kwenye locked folder la google photo, cha ajabu lile folder limefutika na halina picha hata moja. Je, kuna uwezekano wa kuzipata?
0 Reactions
5 Replies
74 Views
Chembe hai za ubongo (neuronal cells) zina utando unaoitwa Sphingolipids( Haya ni mafuta maalum ya ubongo) na mojawapo yanaitwa Sphingomyelin.. mafuta haya husaidia kusafirisha taarifa ( impulse)...
2 Reactions
4 Replies
78 Views
Mwaka Jana Serikali ya Tanzania ilisema inaenda kufufua Mradi mkubwa wa kujenga Ukumbi mkubwa wa Mikutano ya Kitaifa Kwa jina la Kilimanjaro International Convention and Exhibition Centre-KICC...
3 Reactions
44 Replies
903 Views

FORUM STATS

Threads
1,858,614
Posts
49,751,023
Back
Top Bottom