Huu uzi ni maalum kwa vijana wengi wadogo ambao kupitia maneno na vitendo vyao hudhani wao wako salama kwa kupuuzia ukiukwaji wa haki (injustice) anaofanyiwa mtu mwingine. Guarantee ya wewe kuwa...
Mkuu wa Mkoa wa Arusha mh Paul Makonda amewasimamisha Kazi Watumishi 13 wa sekta ya Afya akiwemo boss Wao Dr Mbuya kwa ubadhirifu wa Fedha za Umma tsh million 600
Source Mwananchi
Vijana...
TANROADS KUANZA UJENZI DARAJA LA JANGWANI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema Wizara kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kuanza kutekeleza mradi wa kimkakati wa...
Man UTD wako shirikisho, Chelsea wanajitafuta, vipi Simba kucheza shirikisho iwe kesi.
Cha msingi tukubaliane na matokeo lakini uongozi ukubali kuwajibika, nionavyo hata mwakani hakuna...
Juzi kati kulikua na Malaysia Auto Show, kuanzia tarehe 22 May hadi tarehe 26 May. Kuna baadhi ya chuma zimezinduliwa ila hii ilinivutia.
Aion sub brand ya CAG wamezindua Aion Hyper HT SUV EV...
Kelele za Yanga jamani. Mwaka huu shirikisho ni vituko tu. Marumo Gallants South Afrika wanashika mkia lakini wameongoza kundi lao shirikisho. Tukisema shirikisho hakuna Timu Bora mwaka huu...
Siku hizi zimeibuka NGOs zinazojiasibu kutetea mwanamke.
Huwa najiuliza wanamtetea mwanamke dhidi ya adui Gani bila shaka ni mwanaume.
Hakuna mwanaume asiyehusika na mwanamke, hawa wanawake...
Kuishi Afrika ni sawa na kuishi vitani, usipokuwa mkali utaonewa, hii nikwasababu watu wake hawatii Sheria wala kuheshimu haki
Afrika ni bara linaloongoza kwa kesi nyingi zinazosababishwa na...
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.
Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
Hello bosses and roses, it has been a while...
Leo ngoja nimuongelee huyu kinda wa NBA kwa jina la Antony Edwards au Ant-Man, dogo wa 2001 tu hapa anaekipiga kwenye team ya Minnesota...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.