Bila kujali wengi wanavyotamani Uchaguzi ujao wa mwaka 2030 zaidi ya 50% ya wapigakura wote watakuwa ni vijana.
Chama kitakachotaka kushinda Uchaguzi huo kisayansi lazima kije na mgombea mwenye...
Mkono mtupu haulambwi!
Naam, ndivyo ninavyoweza kulielezea hili.
Wikiendi iliyopita Rais alijumuika kwenye uzinduzi wa albam ya msanii wa kizazi kipya Harmonize akiwa kama mgeni rasmi pamoja na...
Mambo vipi apo nyuma ya keyboard, ugonile.!!
Kiukweli zama zimebadilika sana
ni ajabu sana wanawake sikuiz ndo wanaitisha mechi kwa kisingizio kuwa mnatest kama yaliyomo yamo kwa wachumba zenu...
Watumishi wengi wa umma ni watu waliojariwa kwa vimemo wengine ni mahawara wa viongozi ,watoto wa viongozi, wapwa wa viongozi ,watoto wa mahawara wa viongozi, mashemeji ,wajukuu na marafiki .
Hii...
Huyu memba nampenda sana
Mimi ni yule yule kijana wa makamo 40+
Wewe member nakupenda sana sijali watakachosema mimi na wewe mpaka kiama
Nakupenda Eph kwanza hueleweki mchumba wako ni nani ...
Larry Connor ambaye ni Bilionea Mmiliki wa Kampuni za Uuzaji wa Mali za Kifahari zisizohidhishika (Luxury Real Estate) na rafiki yake Patrick Lahey aliye Mtaalamu wa uchunguzi wa kina cha bahari...
Mheshimiwa Spika, Awali ya yote naomba nimpongeze Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Yusuph Makamba (Mb) Naibu Mawaziri, Makatibu Mkuu na watumishi wengine wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.