Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Imethibitishwa kuwa Raisi wa Irani alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali. Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
2 Reactions
8 Replies
56 Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #CRDBBankFederationCup ⚽️ Ihefu SC🆚Young Africans SC 📆 19.05.2024 🏟 Sheikh Amri Abeid 🕖 09:30 Alasiri Kikosi kinachoanza dhidi ya Ihefu SC Mpira umeanza Dakika ya 1 Dakika ya 5...
6 Reactions
171 Replies
1K Views
Sema kweli mimi huwa nashindwa kuelewa watu, nashindwa kabisa sometimes hata kuchangamana na aina flani ya watu kwasababu najua tu hawana manufaa. Sipendi kuongelea watu na kujudge wafanyacho, ila...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Huyu bwana ni Mtumishi wa umma huko mwanza, ameng'atwa mdomo na Mkewe!
8 Reactions
57 Replies
495 Views
Vijana wengi tunachangamoto ya kupata kianziO au mtaji kwajili ya kuanzisha biashara ndogondogo masikani kwetu. Unaweza kutimiza Ndoto zako sasa na kujitengenezea kipato kikubwa kitakachokidhi...
3 Reactions
35 Replies
498 Views
1. Kunyamaza wakati fulani maishani mwako siyo kipawa bali ni nidhamu (1 Wathesalonike 4: 11). 2. Nyamaza unapohisi hasira (Mithali 14:17). 3. Nyamaza unapokuwa huna taarifa ya kutosha au...
26 Reactions
51 Replies
404 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Wiki tatu zilizo pita Kiongozi wa Mwenge kitaifa alitoa maagizo kuwa; Mabasi yote yanayo pakia na kushusha abiria nje ya Stendi ya Magufuli watoke huko na warudi ndani ya stendi. Kumekuwa na...
1 Reactions
10 Replies
139 Views
Ndugu zangu Watanzania, Nimeendelea kuisikiliza video ya muuguzi aliyedai kuwa ni miongoni mwa wauguzi waliompokea Lissu hospitalini siku alipokimbiziwa hapo baada ya kushambuliwa kwa Risasi na...
6 Reactions
98 Replies
2K Views
DR. TAMIM DAKTARI AMBAE HAKUGOMA MADAKTARI WALIPOGOMA Nimempiga Dr. Tamim picha nyingi na zote ninazo zipo Maktaba. Kila picha niliyompiga nilijitahidi kumpelekea nakala. Tabu iliyonifika ni...
10 Reactions
58 Replies
995 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,171
Posts
49,652,758
Back
Top Bottom