Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari zenu ndugu zangu? Ninauza TV ya inch 32 Brand Hisense na PS3 moja. TV ni 220,000 nakupa na Wall Bracket pamoja na HDMI Cable. Ps3 nakuuzia kwa 280,000 ina magemu 27 mazuri, nakupa na Pad...
0 Reactions
2 Replies
56 Views
Tuzo hii itakuwa kivutio kwa mabinti na itakuwa chachu ya mabinti kutunza usichana wao mpk siku ya ndoa. Tunzo hii iendeshwe nchi nzima kila ngazi "ngazi msingi" i.e kila kitongoji/mtaa. Vyeti...
7 Reactions
34 Replies
305 Views
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰 🏆 #CRDBBankFederationCup ⚽️ Ihefu SC🆚Young Africans SC 📆 19.05.2024 🏟 Sheikh Amri Abeid 🕖 09:30 Alasiri Kikosi kinachoanza dhidi ya Ihefu SC Mpira umeanza Dakika ya 1 Dakika ya 5...
7 Reactions
422 Replies
5K Views
Wanaume badilikeni zama za kuhangaika na mwanamke kisa unampenda sana epukeni hiyo tabia. Wanawake sasa kwa uchunguzi nilioufanya usio rasmi Asilimia sio chini ya 70% wanajiuza... Anaweza jiuza...
9 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakuu nauliza hivo na sababu!! Homa ya uti wa mgongo au meningitis
3 Reactions
7 Replies
65 Views
Kuna mwazuoni humu huwa anaandika sana kuhusu waislam na uhuru naweza sema mzee said ni mwanahistoria mzuri sana ila kafunikwa koti la udini Ni hivi nyerere angekuwa na chuki na hao...
1 Reactions
7 Replies
83 Views
  • Sticky
Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
154 Reactions
121K Replies
7M Views
1: UWAKALA WA MITANDAO YA CM M-pesa Tigopesa Airtel money Halopesa 2: Duka la maziwa fresh+mtindi + juice fresh 3: Banda la chipsi + vinywaji ANGALAU KWA MWEZI NIINGIZE 300,000 TU (300,000)
4 Reactions
32 Replies
243 Views
Hii ndio Taarifa ya hivi karibuni kwamba Wananchi wa Manyoni wameomba hiyo Gari izungushwe nchi nzima kisha iwekwe Makumbusho ya Taifa Viongozi wa Chadema walio Kwenye msafara wamelipokea...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuna habari nimeiona mtandaoni,nimeona niilete jukwaani. Shirika la fedha la IMF ,litaikabidhi Tanzania mkopo wa dollar millioni 150 ili kuweza kukabiliana na kushuka kwa thamani ya shilingi...
5 Reactions
78 Replies
749 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,192
Posts
49,653,844
Back
Top Bottom