Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda.
Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini.
Ujumbe wake huu hapa
---...
20: Chid Benz - Bongo Dar es Saalam
19: FA - Bado Nipo Nipo
18: Fid Q - Propaganda
17: AY and FA - Habari Ndiyo Hio
16: Piggy Black - Nini Mnataka Mazee
15: AY - Raha Tu
14: Professor J -...
Azam kutoa Milioni 50 kila mwezi kwa kila timu ya ligi kuu, hadi sasa umeona mabadiliko yapi kwenye ushindani wa ligi yetu?
Ewe mdau wa soka la Tanzania, umeona mabadiliko?
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.
Ipo siku nitampatia huu ujumbe...
My Take
Kwani nyie jf mods mnatumika na kumsaidia Msigwa au?
Sijatunga hiyo habari Bali nimeleta chanzo rasmi gazeti la Jambo(Chadema) ,mnafuta Uzi Kwa maslahi ya nani...
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.
Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
Wakuu Asalaam,
Leo nimeamka na majanga, kiwanda changu kidogo kimeungua Electric motor yake
Naomba kujua Motor ya HP 20,25 na 30 zinauzwaje na eneo zinapopatikana kwa mtaalam.
Nashukuru kwa...
kwa mara nyingine tena Hospitali yetu ya Taifa ya Muhimbili Mloganzila imefanikiwa kupandikiza uloto kwa wagonjwa mbalimbali walio fikishwa hapo, jambo hilo ni hatua kubwa kwa taaluma ya udaktari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.