Mnamo tarehe 17 mei, nilijiunga bando la uni-combo data ya mb 1126, badala yake vodacom wamenipa dakika bila mb.
Nimewapigia lakini hakuna walichofanya zaidi ya kunipa tu matumaini. Kuna shida...
Niaje waungwana?
Wazungu baada ya kuona wamefanikiwa kutawala sehemu kubwa ya dunia haswa haswa katika bara zima la Afrika, wakaona kuwa hata uongo wao pia watakaoleta kwa watawaliwa utaweza...
Poleni na mihangaiko ya mchana kutwa
Ndugu Madaktari wa JF na wadau wote wa afya naomba msaada wenu.
Mimi ni mama mjamzito mimba yangu ina wiki 35.
Katika umri huu nimepima utra sound mtoto ana...
Full name: Manchester City Football Club
Nickname(s): The Citizens, The Blues, The Sky Blues
Founded: In 1880 as St. Mark's (West Gorton), became Ardwick Association Football Club in 1887 and...
Salaam Wakuu,
Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi.
Tuzujane hapa kianachojiri..
Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
Salaam, Shalom!!
Miaka ya zamani kidogo nilikuwa katika Taasisi Moja kubwa, Kuna kiongozi mmoja kazini akanialika twende tukapate supu ya mbuzi,
Tulipofikia eneo lile kumbe Bana, supu ya mbuzi...
Kwa wale waliomponda Robot Eunice habari hii njema iwafikieni
Robot Eunice atakuwa mwenyeji wa Shindano la Robot barani Africa
Watanzania tembeeni Vifua mbele
Mlale Unono 😀😀
Imethibitishwa kuwa raisi wa Irani alikuwa ndani ya helicopter hiyo iliyopata ajali.
Vikosi vya uokoaji vimeshindwa kutambua na kufika neo husika ilipotokea ajali hiyo kwa sababu ya hali mbaya ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.