My Take
Kwani nyie jf mods mnatumika na kumsaidia Msigwa au?
Sijatunga hiyo habari Bali nimeleta chanzo rasmi gazeti la Jambo(Chadema) ,mnafuta Uzi Kwa maslahi ya nani...
BREAKING NEWS: Simba SC watashiriki Kombe la Shirikisho Msimu ujao baada ya kushika nafasi ya tatu kwenye Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara. Azam FC na Yanga SC watashiriki Klabu Bingwa Barani...
20: Chid Benz - Bongo Dar es Saalam
19: FA - Bado Nipo Nipo
18: Fid Q - Propaganda
17: AY and FA - Habari Ndiyo Hio
16: Piggy Black - Nini Mnataka Mazee
15: AY - Raha Tu
14: Professor J -...
Ndugu zangu Watanzania,
Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu, ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na...
Mtoto wangu ana miezi Saba juzi mama yake amenambia hajawahi kumuona amesimamisha uume,
Ilinichanganya sana akili ilibidi nijipe muda nikakaa naye kama saa mbili hivi asubuhi kuanzia Saa 10 usiku...
Mkuu wa Mkoa Paulo Makonda, amedai kwamba kuna watu 8 wamelipwa hela ndogo ya mil 6 za madafu ili kumuwinda.
Bali Hakusema wakishamuwinda na kumdaka watamfanya nini.
Ujumbe wake huu hapa
---...
Azam kutoa Milioni 50 kila mwezi kwa kila timu ya ligi kuu, hadi sasa umeona mabadiliko yapi kwenye ushindani wa ligi yetu?
Ewe mdau wa soka la Tanzania, umeona mabadiliko?
Namuona tu anavyojishaua, mjini hapa wazuri wengi, yani mtu amesoma hapa hapa mjini af ye bado anajiona keki. Wapo wazuri wanauza bar na wapo wazuri wanajiuza.
Ipo siku nitampatia huu ujumbe...
Wiki hii zimetoka nafasi kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha sita kujiunga na mafunzo ya JKT.
Moja ya kitendo kinachokosa utu na kinachokiuka utamaduni wetu ni kuwavisha watoto wetu wa kike...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.