Habari ya wakati huu wakuu. Ninaomba msaada wa taarifa ya kituo chochote cha kulelea watoto yatima ama watoto walio katika mazingira magumu ambacho kiuhalisia kina hali ngumu ya kimahitaji ya...
Ndugu zangu wana Jf habari zenu.
Unajua kwenye haya maisha tunapitia mengi sana hasa katika utafutaji kwa upande wa Wanaume. Tunakutana na mambo mengi sana ya aibu, kukatishwa tamaa, kuachwa na...
Wadau habari za muda poleni na majukumu ninaomba kuuliza kwa wazoefu kwa nini serikali aitaki kuona elimu yetu imepitwa na wakati wabadili mfumo wa elimu uliopo uwe kama nchi zilizoendelea ili...
Wanaume wengi na vijana wengi wa humu hawana pesa ndefu wala michongo ya kueleweka kama wanawake ndo maana wanaume wa humu wamejaa makasiriko kila uzi wanawake , mara singo mom jaman tafuteni hela...
Kuna habari nimeiona mtandaoni,nimeona niilete jukwaani.
Shirika la fedha la IMF ,litaikabidhi Tanzania mkopo wa dollar millioni 150 ili kuweza kukabiliana na kushuka kwa thamani ya shilingi...
Kamanda ambaye hakuna Mechi ya NBC Premier League iwe Kwa Mkapa au Chamazi anakosa sasa huo Utendaji wake hadi kufikia nae kupewa hiyo Nishani jana na IGP Wambura ni upi? Kama kuna Makamanda ambao...
Mbunge wa Tarime Vijijini akichangia hotuba ya wizara ya Maendeleo ya Jamii amesema kama hao wanatupa Misaada ya Kibajeti wanatuwekea Masharti ya Ushoga basi Misaada yao hatuitaki
Mwita Waitara...
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London.
Benki ya NMB imetanua wigo wa...
Binafsi sijapendezwa na baadhi ya wanajamii forum kubeza mtandao wa TikTok. Mwanzo nilikuwa sio mfuatiliaji wa mtandao huo(TikTok) kwakuwa niliona watu wengi hapa wakisema kuwa hauna maudhi mazuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.