Asiye na mwana aelekee jiwe, ni mwendo wa kikomando na kufyatua fyatua, mnaojificha nyuma ya watoto pole zenu, hawa ni Wayahudi (sio Wakristo mliozoea) wanapiga tu.
Shukrani sana IDF, malizeni hii...
Leo Geita Gold itamenyana na Azam FC kwenye uwanja wa Nyankumbu Geita.
Je, Azam ataweza kumaliza kwenye nafasi ya pili au Geita Gold atapambana ili kujinasua kushuka daraja?
Yetu macho.
Habari Wakuu.
Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara...
Hello 👋
Kupitia ukurasa wa Instagram wa Rommy3D amethibitisha kuachana rasmi na Shilole baada ya video na picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni zikimwonyesha Shilole akiwa na dogodogo mwingine...
Jamaa analipigania Taifa lake huku mkewe analiwa ovyo.DNA imeonyesha watoto wote siyo wa jamaa isipokuwa mwanamke kazaa na mchepuko ambaye ni baba mchungaji.
Ndugu zangu Watanzania,
Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu, ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na...
Habarini wana jamvi...
Kwa kifupi mimi ni mzaliwa wa mkoa wa Mwanza ila tangu mwaka 2000 nilianzisha makazi yangu ya kudumu mkoani Mara. Kwa sasa nina miaka isiyopungua 40. Nafanya shughuli...
Kijiwe niaje!
Ni wengi ambao tunawajua watu wakiwa maarufu ila ni wachache zaidi tunaowajua kabla ya kuwa maarufu aidha kwa kusoma nao, kujuana nao, kucheza nao utotoni, n.k
Binafsi kwa huku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.