Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Kufuatia agizo lililotolewa na Serikali kupitia kwa Waziri wa TAMISEMI nchini Mhe Mohamed Omary Mchengerwa,
Agizo hilo limeitaka DART kuhakikisha inakamilisha taratibu zote za Ubia na Mbia wa...
Maisha yamenitenda ubaya sana. Mwezi ya nne sasa nakula mlo mmoja tu Kwa siku(Wakati wa usiku).
Ee Mungu unae watajirisha wengine naomba nikumbuke.
Mimi bado kijana mdogo mwenye ndoto nyingi...
Binafsi sijapendezwa na baadhi ya wanajamii forum kubeza mtandao wa TikTok. Mwanzo nilikuwa sio mfuatiliaji wa mtandao huo(TikTok) kwakuwa niliona watu wengi hapa wakisema kuwa hauna maudhi mazuri...
Mtu mmoja Mkazi wa Mji wa Kasulu mkoani Kigoma, ambaye hakutambulika majina yake, amefariki wakati akijaribu kuiba nyaya za umeme aina ya kopa, kutoka kwenye transfoma ya eneo la mtaa wa Kiganamo...
Chini ya mwana mama shupavu na CEO wa NMB PLC Mrs. Ruth Zaipuna sasa kwa mara ya kwanza tangu uhuru hatifungani ya NMB Jamii Yaanza Kuuzwa Soko la Hisa London.
Benki ya NMB imetanua wigo wa...
HAUTAKI KUMWAGA HARAKA? FANYA HIVI.
Anaandika, Robert Heriel
Asome kuanzia mwenye miaka 18.
Nakupa Tips chache tuu.
Mambo ya dakika moja chali utabaki kuyasoma mitandaoni na kuyasikia.
Hata...
Straight forward, serikali Kupitia wizara ya mawasiliano na teknolojia imenunua mdoli wa kikubwa wao wanaitwa roboti.
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mdoli na roboti, hili letu ni mdoli kwanza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.