Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo majira ya saa 10:00 jioni katika uwanja wa Azam Complex, timu ya Tanzania Prisons itajipanga mistari miwili kutoa heshima kwa mabingwa wa nchi timu ya Yanga. Baada ya hapo kutapigwa kabumbu...
2 Reactions
105 Replies
3K Views
Asiye na mwana aelekee jiwe, ni mwendo wa kikomando na kufyatua fyatua, mnaojificha nyuma ya watoto pole zenu, hawa ni Wayahudi (sio Wakristo mliozoea) wanapiga tu. Shukrani sana IDF, malizeni hii...
6 Reactions
13 Replies
317 Views
Wakuu nimejaribu kuangalia kwene website yao sioni hata sehemu ya kulog in.
2 Reactions
44 Replies
224 Views
Leo Geita Gold itamenyana na Azam FC kwenye uwanja wa Nyankumbu Geita. Je, Azam ataweza kumaliza kwenye nafasi ya pili au Geita Gold atapambana ili kujinasua kushuka daraja? Yetu macho.
0 Reactions
15 Replies
389 Views
Habari Wakuu. Hivi inakuje kuna baadhi ya familia unakuta watoto wote wana akili, wamesoma mpaka level za juu kabisa. Au unakuta familia nyingine karibu wote wana uchumi mzuri, wana biashara...
25 Reactions
229 Replies
4K Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
221K Replies
17M Views
Hello 👋 Kupitia ukurasa wa Instagram wa Rommy3D amethibitisha kuachana rasmi na Shilole baada ya video na picha zinazoendelea kusambaa mitandaoni zikimwonyesha Shilole akiwa na dogodogo mwingine...
6 Reactions
68 Replies
1K Views
Jamaa analipigania Taifa lake huku mkewe analiwa ovyo.DNA imeonyesha watoto wote siyo wa jamaa isipokuwa mwanamke kazaa na mchepuko ambaye ni baba mchungaji.
14 Reactions
103 Replies
3K Views
Ndugu zangu Watanzania, Uongozi ni kuacha alama zinazoishi katika Maisha na mioyo ya watu, ni kuacha kitu kitakacho simuliwa vizazi kwa vizazi,ni kuacha rekodi ambayo itaimbwa na kuzungumzwa na...
7 Reactions
147 Replies
638 Views
Habarini wana jamvi... Kwa kifupi mimi ni mzaliwa wa mkoa wa Mwanza ila tangu mwaka 2000 nilianzisha makazi yangu ya kudumu mkoani Mara. Kwa sasa nina miaka isiyopungua 40. Nafanya shughuli...
22 Reactions
114 Replies
23K Views

FORUM STATS

Threads
1,857,946
Posts
49,733,510
Back
Top Bottom