Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

๐™’๐™„๐™ˆ๐˜ฝ๐™Š : Centieme dossier ๐™ˆ๐™’๐™„๐™ˆ๐˜ฝ๐˜ผ๐™…๐™„ : FALLY IPUPA ๐™๐˜ผ๐™๐™Ž๐™„๐™๐™„ : SULE MKANDARASI "๐™…๐™š ๐™ ๐™ช๐™ข๐™ฅ๐™–๐™ฉ๐™– ๐™ข๐™ฌ๐™š๐™ฃ๐™ฏ๐™– ๐™จ๐™–๐™๐™ž๐™๐™ž ๐™ฌ๐™– ๐™ ๐™ช๐™ž๐™จ๐™๐™ž ๐™ฃ๐™–๐™ฎ๐™š ๐™ฃ๐™ž ๐™—๐™–๐™๐™–๐™ฉ๐™ž ๐™–๐™ข๐™– ๐™Ÿ๐™ž๐™ฉ๐™–๐™๐™–๐™™๐™– ๐™ฏ๐™– ๐™ข๐™ฉ๐™ช?? ๐™…๐™ž๐™—๐™ช ๐™—๐™–๐™ ๐™ž ๐™ฃ๐™–๐™ก๐™ค. ๐™„๐™ก๐™– ๐™ ๐™ฌ๐™š๐™ฃ๐™ฎ๐™š ๐™๐™ž๐™ ๐™ž ๐™ ๐™ž๐™—๐™–๐™ค...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kuna habari nimeiona mtandaoni,nimeona niilete jukwaani. Shirika la fedha la IMF ,litaikabidhi Tanzania mkopo wa dollar millioni 150 ili kuweza kukabiliana na kushuka kwa thamani ya shilingi...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Hapo Mimi huwa sielewi kibali tayari, nini huwa kinakwamisha au bajeti na mchakato kuchambua maombi utachukua mda Gani na hao watumishi wapya mfano Walimu wataripoti lini au mwezi wa 9? Au Kuna nn...
1 Reactions
2 Replies
17 Views
1. Inaelezwa kuwa kiungo wa Young Africans Aziz Ki ameongeza mkataba wa miaka miwili na timu hiyo 2. Klabu ya Azam na Young Africans zinamuwania beki kisiki wa Coastal Union Lameck Lawi 3. Kuna...
11 Reactions
77 Replies
12K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
517K Replies
30M Views
Niliona uzi humu eti mtu anataka afarijiwe kuhusiana na yeye kupenda huduma mpy ya Irene Uwoya. Yalianza na jamaa aliekuwa Lugombas. Sasa ni irene uwoya kutumia ushawishi wake kupata kondoo...
3 Reactions
5 Replies
105 Views
Kamanda ambaye hakuna Mechi ya NBC Premier League iwe Kwa Mkapa au Chamazi anakosa sasa huo Utendaji wake hadi kufikia nae kupewa hiyo Nishani jana na IGP Wambura ni upi? Kama kuna Makamanda ambao...
0 Reactions
3 Replies
27 Views
Oleksandr Usyk anakua UNDISPUTED CHAMPION wa kwanza wa Heavyweight (Boxing) kwenye 4 belt Era, mara ya mwisho Undisputed Champion kwenye division hii alikuwa Lennox Lewis mwaka 1999 wakati wa...
4 Reactions
29 Replies
645 Views
Salaam, Shalom!! Mungu ni Jina la Cheo kikubwa kuliko vyeo na mamlaka yote Mbinguni na duniani. Swali ni je, Mungu analo Jina lake binafsi? Jina la Mungu ni nani? Karibuni ๐Ÿ™
8 Reactions
398 Replies
8K Views
Naombeni kujuzwa ni kwanini waganga wa kienyeji wanazikwa wakiwa wamekaa kwenye kiti pia makaburi yao ni mviringo kama kisima, mwenye uelewa ni kwanini anijuze. Na je ikitokea amezikwa kawaida...
4 Reactions
41 Replies
699 Views

FORUM STATS

Threads
1,855,106
Posts
49,651,154
Back
Top Bottom